Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

Labda kwenye jamii yako lakini nijuavyo mm hiyo miaka wanawake walikuwa wakivaa khanga na wakijiheshimu wachache sana hasa sehemu za starehe ndo walivaa nguo za ajabu
Hivi kwanza Khanga ni vazi la wapi na utamaduni wa wapi originally; pili zile khanga na misemo ya hapa na pale mwingine anaweza kusema kuita hio ni heshima ni subjective (kupigana vijembe) au ushaona mtu / mdada amepiga khanga moko.....; lakini ndio hivyo to each his /her own...
Kwa upande wa tabia watu waliongozwa na mila na miiko pamoja na dini tabia za uzinzi na uasherati zilihukumiwa kidini na kimila mfano kwa jamii yangu ukifumwa na mwanamke ukoo wenu utatakiwa kutekeleza tambiko na huwa wanatumia mbuzi au kondoo pamoja na faini nyingine
Jamii yenu mwanamke alikuwa anaozwa akiwa na miaka mingapi.., kwahio ukishikwa na mwanamke kondoo na mbuzi basi imetosha ?, Kwani sasa hivi hakuna Kesi mahakamani ukishikwa na mke wa mtu au mtoto wa mtu unadhani hakuna Kesi kisheria
Kwa upande wa malezi familia nyingi zilisimamia watoto wao ambapo tabia mbovu kama umalaya ambao kwa sasa unaonekanwa kawaida kipindi kile ulikuwa ni aibu kubwa kwa familia kuonekanwa mtoto wa fulani ni malaya au ni mvuta bangi
Kwahio issue ni aibu na sio kwamba haukufanyika ?
 
Hivi kwanza Khanga ni vazi la wapi na utamaduni wa wapi originally; pili zile khanga na misemo ya hapa na pale mwingine anaweza kusema kuita hio ni heshima ni subjective (kupigana vijembe) au ushaona mtu / mdada amepiga khanga moko.....; lakini ndio hivyo to each his /her own...

Jamii yenu mwanamke alikuwa anaozwa akiwa na miaka mingapi.., kwahio ukishikwa na mwanamke kondoo na mbuzi basi imetosha ?, Kwani sasa hivi hakuna Kesi mahakamani ukishikwa na mke wa mtu au mtoto wa mtu unadhani hakuna Kesi kisheria

Kwahio issue ni aibu na sio kwamba haukufanyika ?
Hizo zote justification za kutetea uovu mkuu ili ionekane hakuna mmomonyoko wa maadili bali yanayofanyika ni marudio

Baki hapo hapo na msimamo wako
 
Mimi sitetei kitu hapo ndio maana nikasema to each his/her own...; Mimi napingana na sentensi zako sababu zina-uongo....

Kwamba siku hiki watu wanakaa uchi / vaa nusu uchi (swali nakuuliza siku hizi ukilinganisha na zama gani ) ?

Kuongelea Ufuska - Nikawambia the old profession duniani ni Ufuska wala hakuna jipya hapo... Na mambo ya Sex Slaves na watu kurubuniwa na kufanyishwa kazi kama malaya tena anagalau kwa sasa vimepungua (mtu anafanya kwa ajili yake au kwa ajili ya shida zake na sio sababu kauzwa na ndugu zake aende akawe commodity)
 
Mkuu ni kuwa umeamua kushupaza shingo kutetea ufuska lakini ninachokiongea unakielewa

Unapohoji kulingana na zama zipi, zama zinazojiita kizazi kipya hasa kwa tz ni kuanzia 2000 kuja juu lakin 1999 kushuka chini hali haikuwa mbaya ya kuzagaa malaya kila sehem hata sehem za miji midogo kama sasa na kuhusu suala la mavazi nakushangaa kuhoji khanga ni vazi gani! huko ni kujizima data siwezi kubishana na wewe

Na unapozungumzia slave sex hili suala la kibiashara ambapo kwa namna moja au nyingine zilikuwa zinafanyika kimagendo ila sio kwa uwazi kama wadangaji wa sasa, na pia miongoni mwa matokeo hasi ya magendo hayo ndo kuwepo kwa son's of bitch wa sasa ambao hawasikii kuhusu sijui maadili wala dini

Kitu kinachonishangaza kwako ni kuridhishwa na wauza uchi kwa kigezo cha kujipatia kipato bila kujali suala la maadili kana kwamba wewe ni mmoja wao
 
1999 kushuka chini suala la mavazi ndio nimekwambia huko mbali zaidi bibi zetu walikuwa wanatembea chuchu nje...; Pili unaongelea umalaya kuongezeka kwenye miji midogo ni kwamba hapo nyuma miji ilikuwa vijijini lakini sasa hivi miji inapokuwa mikubwa ndio umalaya unazidi sababu hio ni biashara ya watu na watu wanakwenda kulingana na uhitaji na pesa Ndio maana zamani...; Kuhusu khanga ndio nikakuuliza unajua ni utamaduni wa wapi na je unajua kwamba khanga hio hio inaweza kutumika kwa manjonjo au vilevile kuvutia ? Issue sio kuvaa nini tu bali kama kuvutia / ku-trap mtu anaweza akafanya hivyo hata akiwa amevaa baibui....

Hivi Tanzania Umalaya upo Kisheria ?!!!! Au ndio magendo hayo hayo.... Pia kwako wewe kipi ni bora mtu kuuzwa sehemu na kulazimishwa kutoa huduma kwa watu kwa lazima au mtu yeye kama yeye mwenye akili timamu kuamua kutumia mwili wake kama sehemu ya biashara ?!!

Ndio nimekuuliza maadili kwa kigezo kipi na wapi ?!! Naweza nika-argue hata utamaduni wa wazazi kudai mahari ya kufa mtu kwa mtoto wao hio pia ni kutumia mwili wa mtoto wako kujipatia kipato....; Unaweza kuangalia Sex kama burudani au kama njia ya reproduction au vyovyote vile..., Binafsi mimi kinachofanywa na watu wenye akili timamu watu wazima tena kwenye faragha zao wala sijiulizi na kujisumbua unless ufuska huo wanafanyia kwenye kadamnasi za watu / mitaani hivyo wanaweza kuleta kero kwa wengine na hapo nitawaambia GET A ROOM
 
Umalaya sio biashara tu bali ni hulka ya mtu kulingana na ushawishi wa kimwili kuna wengine ni wamalaya na vijana wanajisifu wanakula kimasikhara. Point hapa ni vile vishawishi vinavyosababisha huo umalaya ikiwemo aina ya mavazi yanayovaliwa na dada na mama zetu ambayo yanawashawishi vijana kwa namna moja au nyingine kupelekea kuwatongoza

Na pia unaposema miji imetanuka na umalaya kuongezeka ni kweli lakini sababu sio kuwa ni kwakuwa kulikuwako na hiyo biashara hapana vijiji vingine vimefanya kuletewa na wageni kwa kauli ya usasa(utandawazi) ikiwemo miziki na movies za kushawishi uasherati na hivyo watoto wa mji huo kuingia kwenye mmomonyoko wa maadili

Mkuu wewe ni miongoni mwa watu wa kizazi kipya kwaiyo endelea kutetea ufuska kwa kigezo cha democracy na utandawazi
 
View attachment 2902585
Again to each their own....;

Uzuri wa kuwepo varities kila mtu anachagua roho inapenda...; tukianza nginekupangiana utamaduni na asili utagundu chochote ulichovaa hapo dakika hii huenda sio asili yako...
O eidha hatujui au hatuna asili kabisa.

Story za zamani ni kua walikua wanavaa magome ya miti, wengine ndo kama hizo picha ulizopost anajifunika kivazi kidogo tu, titi wazi, tako wazi.

Labda waseme tufate maadili ya dini ila siyo ya asili maana sidhani kama kuna asili ya Tanzania.
Kila kabila lina mila zake na tamaduni zake, na kama mmeamua kufata tamaduni msiwe na double standards waacheni wafate zote.
 
Umalaya sio biashara tu bali ni hulka ya mtu kulingana na ushawishi wa kimwili kuna wengine ni wamalaya na vijana wanajisifu wanakula kimasikhara. Point hapa ni vile vishawishi vinavyosababisha huo umalaya ikiwemo aina ya mavazi yanayovaliwa na dada na mama zetu ambayo yanawashawishi vijana kwa namna moja au nyingine kupelekea kuwatongoza

Na pia unaposema miji imetanuka na umalaya kuongezeka ni kweli lakini sababu sio kuwa ni kwakuwa kulikuwako na hiyo biashara hapana vijiji vingine vimefanya kuletewa na wageni kwa kauli ya usasa(utandawazi) ikiwemo miziki na movies za kushawishi uasherati na hivyo watoto wa mji huo kuingia kwenye mmomonyoko wa maadili

Mkuu wewe ni miongoni mwa watu wa kizazi kipya kwaiyo endelea kutetea ufuska kwa kigezo cha democracy na utandawazi
Hapa pia nitaungana na Logikos , huwezi kusema eti dada asivae nguo fupi kisa atamshawishi mwanaume amtongoze!! Huoni kua hapo unamnyima uhuru huyu binti..

Ukifika stage hiyo utasema asisuke, asijirembe asiwe msafi kwa kuogopa kua akipendeza atavutia na kufanya atongozwe.

Punguza ubinafsi, yaani udhaifu wako wewe unataka kuwapa tabu watu wengine. Tamaa zako wewe unataka kina dada wasipendeze.

Kwanini usofocus na kuelimisha hao vijana elimu rika ili wasiwake tamaa hovyo.

Wafundishe kujichukulia sheria mkononi, acha dada zetu wapendeze alaaa.
 
Kwaiyo mkuu hawa wanaovaa nusu uchi wanafata mila gani za kimasai, kindengereko au kisukuma ili tujue kama kuna double standard au hamna

Na kwanini kama wanafuata mila wasivae hayo magome ya miti maana ndio utamaduni kama walivo wamasai badala yake wanavaa bikini za wazungu hiyo ni mila ya kabila gani
 
Hapa pia nitaungana na Logikos , huwezi kusema eti dada asivae nguo fupi kisa atamshawishi mwanaume amtongoze!! Huoni kua hapo unamnyima uhuru huyu binti..

Ukifika stage hiyo utasema asisuke, asijirembe asiwe msafi kwa kuogopa kua akipendeza atavutia na kufanya atongozwe.

Punguza ubinafsi, yaani udhaifu wako wewe unataka kuwapa tabu watu wengine. Tamaa zako wewe unataka kina dada wasipendeze.

Kwanini usofocus na kuelimisha hao vijana elimu rika ili wasiwake tamaa hovyo.

Wafundishe kujichukulia sheria mkononi, acha dada zetu wapendeze alaaa.
Huo ndio usasa wenyewe ninaouzungumzia utandawazi kwa kivuli cha democracy nani kakwambia kukaa uchi ndio kupendeza hao waliovaa magome ya miti walipendeza?
 
Hapa pia nitaungana na Logikos , huwezi kusema eti dada asivae nguo fupi kisa atamshawishi mwanaume amtongoze!! Huoni kua hapo unamnyima uhuru huyu binti..

Ukifika stage hiyo utasema asisuke, asijirembe asiwe msafi kwa kuogopa kua akipendeza atavutia na kufanya atongozwe.

Punguza ubinafsi, yaani udhaifu wako wewe unataka kuwapa tabu watu wengine. Tamaa zako wewe unataka kina dada wasipendeze.

Kwanini usofocus na kuelimisha hao vijana elimu rika ili wasiwake tamaa hovyo.

Wafundishe kujichukulia sheria mkononi, acha dada zetu wapendeze alaaa.
Hawa watu wanakaa uchi kwa kigezo cha kushawishi wanaume kingono na sio kuwa wanafuata mila kama wangekuwa wanafuata mila tungeona kila kabila na mitindo ya uvaaji wao kuna wengine tungeona masegere, wengine lubega kama wabena na wahehe na kadhatika

Badala yake hatuoni hayo tunaona bikini za wazungu na kuongeza matako hizo ni mila za kabila gani?

Kwa usasa wenu kwa kigezo cha democracy mnatetea ufuska haya nambie mila na tamaduni za mwafrika zilitambua kitu kinaitwa democracy?
 
Umalaya sio biashara tu bali ni hulka ya mtu kulingana na ushawishi wa kimwili kuna wengine ni wamalaya na vijana wanajisifu wanakula kimasikhara. Point hapa ni vile vishawishi vinavyosababisha huo umalaya ikiwemo aina ya mavazi yanayovaliwa na dada na mama zetu ambayo yanawashawishi vijana kwa namna moja au nyingine kupelekea kuwatongoza
Mkuu kwahio tatizo ni kushawishi au tatizo ni tabia ya mtu ? Tukianza tabia Je umalaya ni nini ? labda tuanzie hapo Sababu ukiangalia nature wanawake na wanaume wapo pale kuvutiana ili waweze ku-mate na ku-propagate ili vizazi na vizazi viendelee...; Sasa nikuulize bila ushawishi hata mke wako utampenda / atakuvutia ?

Ukiongelea mavazi hio ni moja ya sense za mwanadamu (kuna kuona; kunusa hata kusikia) sasa je hata yule anayepaka utuli aache sababu mwanaume akisikia harufu nzuri kwake atavutiwa nae ? Je mwenye kosa ni nani yule ambaye hawezi kujizuia au yule anayepaka huo utuli kwa faida yake na mapenzi yake huenda hata hataki kuvutiwa na huyu bali na yule..... Kuna sehemu zina mavazi kulingana na sehemu husika huwezi kwenda mahakamani umevaa bikini la vilevile huwezi kwenda Beach umevaa suti (kwanini ? comfort-ability pia na je beach unakwenda kufanya nini)?
Na pia unaposema miji imetanuka na umalaya kuongezeka ni kweli lakini sababu sio kuwa ni kwakuwa kulikuwako na hiyo biashara hapana vijiji vingine vimefanya kuletewa na wageni kwa kauli ya usasa(utandawazi) ikiwemo miziki na movies za kushawishi uasherati na hivyo watoto wa mji huo kuingia kwenye mmomonyoko wa maadili
Kwahio tuache kuangalia movies na miziki ? Unadhani Bibi zako walikuwa hawana starehe za kipindi hicho ambazo ni ngoma na vigoro n.k. Je unadhani walikuwa hawafundishwi kwenye unyago kufanya haya matendo ili wakifikia miaka 12 mpaka 14 waende kuolewa ? Je hio ilikuwa sawa ? Je turudi kwenye baadhi ya Imani inavyotaka kwamba wanawake wakifunike ili kuonekana kwa mtu mmoja tu (mme wao) ambaye yeye ana haki ya kuwa na wanawake hata wanne ? Hio ni nzuri kwa mwanamme je inakidhi haja za huyu mwanamama ?

Ukiangalia haya mambo kwa upana wake utagundua mambo sio black or white bali kuna a lot of grey areas
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu wa kizazi kipya kwaiyo endelea kutetea ufuska kwa kigezo cha democracy na utandawazi
Unaniita kizazi kipya wakati mimi nakupa historical facts za tangia 1880s wewe ndio unataka kuleta hoja za kusema kwamba haya mambo ni mapya na kila cha sasa ni kibaya na kila cha wakati huo ni kizuri...

Unaongelea utandawazi (hapo wewe ulipo ni mangapi ni mapya na mangapi unafanya ni asili yako) mbili demokrasia ni nini ? Au unataka Udikteta wa kupangiana jinsi ya kuvaa na siongelei nusu uchi labda hata sura zisionekane (sababu kuna mataifa yanafanya hivyo)
 
Hawa watu wanakaa uchi kwa kigezo cha kushawishi wanaume kingono na sio kuwa wanafuata mila kama wangekuwa wanafuata mila tungeona kila kabila na mitindo ya uvaaji wao kuna wengine tungeona masegere, wengine lubega kama wabena na wahehe na kadhatika
Kwahio tatizo sio Mila kwamba zinaweza kuwa mbaya au nzuri tatizo ni kushawishi ? Ukiongelea Ngono hivi unadhani watu wengi wanafanyi vitu ili mwisho wa siku iwe nini ? Think about it.......
Badala yake hatuoni hayo tunaona bikini za wazungu na kuongeza matako hizo ni mila za kabila gani?
Bikini ni beach / vazi la beach na hata huko kwa wazungu Bikini zilikuja baadae baada ya kuona kwamba hizi beach zinafaa kuliko labda kuvaa chupi ya kawaida...; na ukiongelea Bikini hivi unajua bibi zako walikuwa wanavaa tumajani kuficha tu sehemu za siri (yaani hapo hata Bikini ni kuwa over-dressed)
Kwa usasa wenu kwa kigezo cha democracy mnatetea ufuska haya nambie mila na tamaduni za mwafrika zilitambua kitu kinaitwa democracy?
Labda tuanzie hapo nini definition ya Ufuska ? Kama ni kutembea na mtu bila ndoa (je ndoa ni utamaduni wa wapi) Tatu unajua Utamaduni wa wamasai wa kuweka mshale nje ya nyumba kwamba akija mtu kwenye mji kama baba mwenye nyumba amekwenda kwenye malisho sehemu za mbali yeye anaweza kuingia pale na kuwa Baba ?!!! Ule ulikuwa Ufuska ?
 
Mkuu kwahio tatizo ni kushawishi au tatizo ni tabia ya mtu ? Tukianza tabia Je umalaya ni nini ? labda tuanzie hapo Sababu ukiangalia nature wanawake na wanaume wapo pale kuvutiana ili waweze ku-mate na ku-propagate ili vizazi na vizazi viendelee...; Sasa nikuulize bila ushawishi hata mke wako utampenda / atakuvutia ?

Ukiongelea mavazi hio ni moja ya sense za mwanadamu (kuna kuona; kunusa hata kusikia) sasa je hata yule anayepaka utuli aache sababu mwanaume akisikia harufu nzuri kwake atavutiwa nae ? Je mwenye kosa ni nani yule ambaye hawezi kujizuia au yule anayepaka huo utuli kwa faida yake na mapenzi yake huenda hata hataki kuvutiwa na huyu bali na yule..... Kuna sehemu zina mavazi kulingana na sehemu husika huwezi kwenda mahakamani umevaa bikini la vilevile huwezi kwenda Beach umevaa suti (kwanini ? comfort-ability pia na je beach unakwenda kufanya nini)?

Kwahio tuache kuangalia movies na miziki ? Unadhani Bibi zako walikuwa hawana starehe za kipindi hicho ambazo ni ngoma na vigoro n.k. Je unadhani walikuwa hawafundishwi kwenye unyago kufanya haya matendo ili wakifikia miaka 12 mpaka 14 waende kuolewa ? Je hio ilikuwa sawa ? Je turudi kwenye baadhi ya Imani inavyotaka kwamba wanawake wakifunike ili kuonekana kwa mtu mmoja tu (mme wao) ambaye yeye ana haki ya kuwa na wanawake hata wanne ? Hio ni nzuri kwa mwanamme je inakidhi haja za huyu mwanamama ?

Ukiangalia haya mambo kwa upana wake utagundua mambo sio black or white bali kuna a lot of grey areas

Unaniita kizazi kipya wakati mimi nakupa historical facts za tangia 1880s wewe ndio unataka kuleta hoja za kusema kwamba haya mambo ni mapya na kila cha sasa ni kibaya na kila cha wakati huo ni kizuri...

Unaongelea utandawazi (hapo wewe ulipo ni mangapi ni mapya na mangapi unafanya ni asili yako) mbili demokrasia ni nini ? Au unataka Udikteta wa kupangiana jinsi ya kuvaa na siongelei nusu uchi labda hata sura zisionekane (sababu kuna mataifa yanafanya hivyo)
Kuna baadhi ya maswali umezunguuka kuyajibu nimekuuliza kuvaa bikini na kufanya surgery za makalio ni utamaduni wa kabila gani?

Na pia kama kweli zama hizo unaimani mila zilikuwepo ni mila gani ilikuwa inaamini philosophy ya democracy ambayo wewe waitetea kwa mgongo wa utandawazi?

Halafu pia wewe ndio ulieleta neno "ufuska" kwenye comment zilizopita kwaiyo maana ya ilo neno unaijua wewe

Huu usasa wenu wa asaiv ni kuwa mwaiga kila uchafu unaofanyika kote duniani huku mkiacha mila zenu zilizowakuza na mkakua(baadhi yenu)
 
Bikini ni nini na zinavaliwa wapi ?
1707902372964.png
1707902755395.png

Haya niambie nani hapo yupo uchi ? (kumbuka mmoja ni vazi la sehemu husika mwingine hio ndio ilikuwa vazi la kila siku....

Ukiongelea kuongeza makalio nimekujibu kipindi hicho kulikuwa hakuna teknolojia hio ila watu walikuwa waongeza shingo; masikio midomo na wengine kubada kiuno ili wawe umbo namba nane
Na pia kama kweli zama hizo unaimani mila zilikuwepo ni mila gani ilikuwa inaamini philosophy ya democracy ambayo wewe waitetea kwa mgongo wa utandawazi?
Demokrasia ni nini ? Demokrasia ni chimbuko la Kiungozi ambapo badala ya watu wachache au wafalme kutawala watu, bali watu wenyewe ndio wanajiongoza (Power to the People) sasa je wewe unaona watu kujiongoza wenyewe na kuwa na Maoni kwenye uongozi wao ni jambo baya na inabidi wapangiwe ? Mbona sioni uhusiano wowote wa Demokrasia na Mavazi ?
Halafu pia wewe ndio ulieleta neno "ufuska" kwenye comment zilizopita kwaiyo maana ya ilo neno unaijua wewe

Huu usasa wenu wa asaiv ni kuwa mwaiga kila uchafu unaofanyika kote duniani huku mkiacha mila zenu zilizowakuza na mkakua(baadhi yenu)
Nimekuuliza kwa definition yako Umalaya ni nini ? ili tuweze kuchambua na kueleweshana huenda tunaongelea mambo tofauti au ukimove the line unaweza kuona kila mtu ni malaya depending on how strict your definition is...
 
Bikini ni nini na zinavaliwa wapi ?
View attachment 2903691View attachment 2903705

Haya niambie nani hapo yupo uchi ? (kumbuka mmoja ni vazi la sehemu husika mwingine hio ndio ilikuwa vazi la kila siku....

Ukiongelea kuongeza makalio nimekujibu kipindi hicho kulikuwa hakuna teknolojia hio ila watu walikuwa waongeza shingo; masikio midomo na wengine kubada kiuno ili wawe umbo namba nane

Demokrasia ni nini ? Demokrasia ni chimbuko la Kiungozi ambapo badala ya watu wachache au wafalme kutawala watu, bali watu wenyewe ndio wanajiongoza (Power to the People) sasa je wewe unaona watu kujiongoza wenyewe na kuwa na Maoni kwenye uongozi wao ni jambo baya na inabidi wapangiwe ? Mbona sioni uhusiano wowote wa Demokrasia na Mavazi ?

Nimekuuliza kwa definition yako Umalaya ni nini ? ili tuweze kuchambua na kueleweshana huenda tunaongelea mambo tofauti au ukimove the line unaweza kuona kila mtu ni malaya depending on how strict your definition is...
Mkuu unatatizo la ku generalize makabila na mila zao kuwa mila ya wote ili kutetea hoja ya wakaa uchi

Maana wakati wa zamani kila kabila lilikuwa na mila na tamaduni zake badala yake waja kunipa mfano wa wazulu walivyo vaa wakati kabila la wazuru linapatikana kusini mwa Afrika na sio tz

Kuwa specific nambie kabila gani lilivaa bikini na kabila gani lilipractice democracy hilo swala la maono kuhusu cjui democracy na kupangiana achana nalo coz bora kupangiana ili tuwe na maadili kuliko uhuru wa kijinga wa kukaa uchi na tabia mbovu mbovu kwa kivuli cha democracy
 
Africa Makabila mangapi yalikuwa yanavaa magauni suruali n.k. ? Kwanza nisiseme Afrika niseme duniani....

Ndio hapo narudia sentensi yangu ya kwanza kabisa kwenye huu mjadala..., Nikiwambia kuvaa ndio usasa utaniambia nini ?

Nadhani wewe ni mtu wa imani / dini Je nikuulize kwa Misaafu yako au Biblia yako Adamu na Eva / Hawa walivaa nguo ?

Ukishasema hapana ndio hapo utaona kwamba mavazi au lack of thereof huwezi kusema ndio mmomonyoko pekee lakini ni kweli hatuwezi kukaa matiti nje barabarani sababu mabibi zetu walifanya hivyo ni kwamba tumebadilika kutokana na usasa na sio sababu bibi zetu walivaa bra au gagulo

Makabila yote hapo kale yalikuwa yanatembea matiti nje labda watu wenye status sababu kupata garment / ngozi ya kukufunika mpaka kwenye matiti haikuwa kazi ndogo sehemu za baridi ilibidi wafanye hivyo ila kwenye joto ujivike ngozi ya simba ni joto bora utembee kifua wazi....

Democracy, dictatorship, Nyarubanja, Ukabaila n.k. hio ni mifumo tu ya kiuongozi kulingana na wakati na mahitaji..., Babu yangu kama alikuwa mfalme na alikuwa anazikwa na watu wakiwa hai kwamba waende kumtumikia kuzimu haimaanishi leo tufanye hivyo...

Kwahio angalia vitu kwa pros and cons sio ulete story za maadili fulani sio yetu wakati ukiangalia mwanzo mwisho utamaduni wako sasa hivi mababu zako wakirudi watakushangaa kwamba walichokipiginia sasa hivi ndio unakichukua (tukianza na Dini za Kisasa)
 
Umeelezea mifumo ya utawala ambayo yote ilikuwa ya kifalme vivyo hivyo kutokana na mifumo hiyo iliweza kusimamia maadili ya mwafrica inform of rituals and cult na watu wakawa na maadili mema tofauti na uzungu wenu wa sasa ambao hata wewe unakili kumkana babu yako na mzazi wako ukiwaona wajinga kwa ajili ya mila za kigeni
 
Nadhani wewe una dini fulani (Uislamu au Ukristo) sasa nikuulize hapo nani kamkana babu na bibi yake (sababu waliotuletea hizi dini ndio walisema imani za babu zetu ni za kipuuzi)..

Ila nikitoka huko Binadamu tunajifunza na ku-evolve tunajifunza mazuri na mabaya tunakuwa bora kwahio cha maana wewe kwa misingi yako na imani yako wafundishe watoto wako au kuwa na misimamo yako kulingana na nini ni kibaya na nini ni kizuri UZURI ni kwamba wewe katika nyumba yako una sheria zako na sababu wewe ndio mkuu wa familia na unawalisha na kuwatunza basi utawatungia sheria kadri unavyopenda na kuona inafaa mpaka pale wakitoka kwako na kwenda KWAO hivyo watafanya wanavyotaka.... (So long as hakuna Abuse)

Huo ndio ustaarabu na aina ya maisha inayoweza kutufanya watu tofauti tuweze kuishi sehemu moja kwa kuheshimiana na bila kuingiliana....

To each his/her own...
 
Africa Makabila mangapi yalikuwa yanavaa magauni suruali n.k. ? Kwanza nisiseme Afrika niseme duniani....

Ndio hapo narudia sentensi yangu ya kwanza kabisa kwenye huu mjadala..., Nikiwambia kuvaa ndio usasa utaniambia nini ?

Nadhani wewe ni mtu wa imani / dini Je nikuulize kwa Misaafu yako au Biblia yako Adamu na Eva / Hawa walivaa nguo ?

Ukishasema hapana ndio hapo utaona kwamba mavazi au lack of thereof huwezi kusema ndio mmomonyoko pekee lakini ni kweli hatuwezi kukaa matiti nje barabarani sababu mabibi zetu walifanya hivyo ni kwamba tumebadilika kutokana na usasa na sio sababu bibi zetu walivaa bra au gagulo

Makabila yote hapo kale yalikuwa yanatembea matiti nje labda watu wenye status sababu kupata garment / ngozi ya kukufunika mpaka kwenye matiti haikuwa kazi ndogo sehemu za baridi ilibidi wafanye hivyo ila kwenye joto ujivike ngozi ya simba ni joto bora utembee kifua wazi....

Democracy, dictatorship, Nyarubanja, Ukabaila n.k. hio ni mifumo tu ya kiuongozi kulingana na wakati na mahitaji..., Babu yangu kama alikuwa mfalme na alikuwa anazikwa na watu wakiwa hai kwamba waende kumtumikia kuzimu haimaanishi leo tufanye hivyo...

Kwahio angalia vitu kwa pros and cons sio ulete story za maadili fulani sio yetu wakati ukiangalia mwanzo mwisho utamaduni wako sasa hivi mababu zako wakirudi watakushangaa kwamba walichokipiginia sasa hivi ndio unakichukua (tukianza na Dini za Kisasa)
Hilo ni kabila la wazigua wanaopatikana Tanga tz vp hapo kuna mwenye matiti yaliokuwa wazi?

Ukweli ni kwamba hatuwezi kuwapotosha jamii na kutetea uvaaji wa kikahaba na tabia nyingine mbovu kwa kigezo eti zamani hawakuvaa huo ni uwongo

Walivaa hadi majani ya migomba(masegere) wakajifunika na vifuani na maeneo ya maungo yao(baadhi ya makabila na sio kama unayotuma ukadhani makabila yote yalikuwa hivyo)

Watu walikuwa na haya(aibu) kwakuwa utamaduni uliwalinda, hawakuvaa ili kushawishiana kingono na kuongeza mashepu kama sasa.

Na kwa hoja yako eti technology ya kuongeza shepu haikuwepo pia ni uongo kwani hadi sasa kuna wanaotumia miti shamba kuongeza shepu(miti ilikuwepo enzi na enzi)

Kwaiyo tukubali kuwa jamii imeporomoka kimaadili kwa ujumla na chanzo ni kuiga mila za wazungu kwa kigezo cha utandawazi na usasa(civilization)
Screenshot_20240214-130556_1.jpg
 
Back
Top Bottom