Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hivi kwanza Khanga ni vazi la wapi na utamaduni wa wapi originally; pili zile khanga na misemo ya hapa na pale mwingine anaweza kusema kuita hio ni heshima ni subjective (kupigana vijembe) au ushaona mtu / mdada amepiga khanga moko.....; lakini ndio hivyo to each his /her own...Labda kwenye jamii yako lakini nijuavyo mm hiyo miaka wanawake walikuwa wakivaa khanga na wakijiheshimu wachache sana hasa sehemu za starehe ndo walivaa nguo za ajabu
Jamii yenu mwanamke alikuwa anaozwa akiwa na miaka mingapi.., kwahio ukishikwa na mwanamke kondoo na mbuzi basi imetosha ?, Kwani sasa hivi hakuna Kesi mahakamani ukishikwa na mke wa mtu au mtoto wa mtu unadhani hakuna Kesi kisheriaKwa upande wa tabia watu waliongozwa na mila na miiko pamoja na dini tabia za uzinzi na uasherati zilihukumiwa kidini na kimila mfano kwa jamii yangu ukifumwa na mwanamke ukoo wenu utatakiwa kutekeleza tambiko na huwa wanatumia mbuzi au kondoo pamoja na faini nyingine
Kwahio issue ni aibu na sio kwamba haukufanyika ?Kwa upande wa malezi familia nyingi zilisimamia watoto wao ambapo tabia mbovu kama umalaya ambao kwa sasa unaonekanwa kawaida kipindi kile ulikuwa ni aibu kubwa kwa familia kuonekanwa mtoto wa fulani ni malaya au ni mvuta bangi