Watu wameishi zaidi ya miaka 30 eti wanafunga ndoa Kesho? Wakristo naomba mnieleweshe

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini.

Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu waliokuwa anawasalisha ibada yao ilikuwa inakubaliwa? Ok any way ngoja
 
Ni wapi palipoandikwa kwenye biblia kuwa kiongozi wa dini anatakiwa kufungisha ndoa? Weka kifungu halafu nikujulishe kuwa kazi ya kiongozi wa dini ya kikristo ni kubariki tu. Kwa waislam sijui hili lipoje
 
Kama Mungu atajaalia na Mimi tafuata nyendo hizo hzo
 
Ni kubariki tu ndoa. ili kama kibali Cha kupata zile taratibu mbali mbali na huduma za kikanisa.🙂
 
Jah People alifunga ndoa akiwa ameishi na mkewe miaka mingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…