Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Napinga vyote kwa pamoja.Mkuu unapinga kuwepo kwa Mungu au unapinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu? Sijaelewa.
Mungu pamoja na sifa zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napinga vyote kwa pamoja.Mkuu unapinga kuwepo kwa Mungu au unapinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu? Sijaelewa.
Hapana Akili kila mtu anazo.Huwa naona kama kutokuamini Mungu kuna husishwa moja kwa moja na kuwa na akili sana,
Dhana ya uwepo Mungu mwema, mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, mabaya na uasi Huitaji akili nyingi kujua kwamba Mungu huyo mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.hivi kwa nini inakuwa hivyo japo kwenye maisha ya kawaida hakuna huo utofauti kuonyesha kuwa wasioamini Mungu ndio wenye akili kuliko wenye kuamini Mungu?
Si kwamba unapinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu kisha ndio hutumia kuhitimishia hakuna Mungu?Napinga vyote kwa pamoja.
Mungu pamoja na sifa zake.
Ndio nilichokisema kwamba kutokuamini Mungu kuna husishwa na kuwa na akili sana na kinyume chake wanaoamini Mungu huhusishwa na kutokuwa na akili sawa sawa, na ndio maana unasema hata mtoto mdogo anajua hakuna Mungu.Hapana Akili kila mtu anazo.
Dhana ya uwepo Mungu mwema, mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, mabaya na uasi Huitaji akili nyingi kujua kwamba Mungu huyo mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.
Hata kwa mtoto mdogo tu ata tambua kwamba Mungu huyo hayupo.
Otherwise Mungu huyo ni Muovu na mkatili sana.
Sio mambo tu hata sifa za huyo Mungu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo Hayupo.Si kwamba unapinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu kisha ndio hutumia kuhitimishia hakuna Mungu?
Ndio ni kweli kabisa.Ndio nilichokisema kwamba kutokuamini Mungu kuna husishwa na kuwa na akili sana na kinyume chake wanaoamini Mungu huhusishwa na kutokuwa na akili sawa sawa, na ndio maana unasema hata mtoto mdogo anajua hakuna Mungu.
Hapo unachanganya kutokuwepo Mungu na kupinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu, hata wenye kuamini uwepo wa Mungu pia hutofautiana baadhi ya mambo yenye kuhusishwa na Mungu ila kwa pamoja hukubali uwepo wa Mungu.Sio mambo tu hata sifa za huyo Mungu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo Hayupo.
Watu wanadai Mungu ni mkamilifu, Sasa Mungu Mkamilifu Aliumbaje Dunia yenye uovu na binadamu wenye uwezo wa kutenda uovu?
Mungu ni muweza wa vyote, Sasa Mungu muweza wa vyote Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio na uwezo wa kutenda dhambi, watakao mtii na kumwamini siku zote?
Mungu ni mwenye kujua yote, Sasa Mungu mjuzi wa vyote, Hakujua kwamba shetani, uovu, dhambi, ukatili,uasi na mabaya yatakuja kuwepo duniani ayadhibiti na kuyazuia mapema yasitokee?
Yani hapa Huitaji akili nyingi kujua kwamba Mungu huyo mwenye sifa tajwa hapo juu HAYUPO.
Umegonga msumari kwenye kichwa. Jinsi watu wanavyozidi kutumia akili kufikiri itabidi dunia ishikiliwe kimaadili na ubinadamu.Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri.
Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi.
Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa,
Ila mjinga ni lazima umuogopeshe kuwa kuiba ni dhambi, hivyo hataiba kwa kuhofia anatenda dhambi.
Hivyo ni rahisi sana kumuaminisha mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kuwa kuna nguvu isiyoonekana na akaamini.
Sababu nyinginezo ni kama
- Kurithishwa utamaduni, pale mtoto anapozaliwa analazimishwa aamini imani ya wazazi kwa kubatizwa n.k
- Woga, watu wengi wanaogopa kutokana na vitisho mbalimbali mfano kutengwa kwenye jamii zao
- Kifo, wengi hawakubaliani na ukweli kwamba ni lazima kiumbe hai afe, hivyo wanatamani wapate maisha mengine baada ya kifo.
- Majibu ya kisayansi hayafariji kama ya kidini n.k.
Kwamba katika huu ulimwengu wenye kuamini Mungu hawana akili sawa sawa ukilinganisha na wenye kusema hakuna Mungu?Ndio ni kweli kabisa.
Umeanza tena ile tabia yako ya kumtag mahondaw?
Kubadilika huku kwa watu bado haku thibitishi na kuonesha Mungu huyo yupo.Katika hii dunia tumekuwa tukishuhudia waliyokuwa wakiamini Mungu kubadilika na kuwa wakana uwepo wa Mungu na tumeshuhudia waliyokuwa wakana uwepo wa Mungu kubadilika na kuwa waamini Mungu, jambo hili linatafakarisha sana.
Sawa.Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri.
Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi.
Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa,
Ila mjinga ni lazima umuogopeshe kuwa kuiba ni dhambi, hivyo hataiba kwa kuhofia anatenda dhambi.
Hivyo ni rahisi sana kumuaminisha mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kuwa kuna nguvu isiyoonekana na akaamini.
Sababu nyinginezo ni kama
- Kurithishwa utamaduni, pale mtoto anapozaliwa analazimishwa aamini imani ya wazazi kwa kubatizwa n.k
- Woga, watu wengi wanaogopa kutokana na vitisho mbalimbali mfano kutengwa kwenye jamii zao
- Kifo, wengi hawakubaliani na ukweli kwamba ni lazima kiumbe hai afe, hivyo wanatamani wapate maisha mengine baada ya kifo.
- Majibu ya kisayansi hayafariji kama ya kidini n.k.
Nimekwambia tangu mwanzo kwamba, Akili kila mtu anazo.Kwamba katika huu ulimwengu wenye kuamini Mungu hawana akili sawa sawa ukilinganisha na wenye kusema hakuna Mungu?
Hayo maswali yako hata ukipewa majibu yake hayathibitishi kuwa Mungu yupo na pia usipopewa majibu yaje pia haithibitishi kuwa hakuwa hakuna Mungu pia.Kubadilika huku kwa watu bado haku thibitishi na kuonesha Mungu huyo yupo.
Swali ni je, Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu watakao mtambua yeye yupo kwa wakati wote?
Kama lengo la huyo Mungu ni kutambuliwa yupo, Alishindwaje kuumba Binadamu watakao mtambua yeye yupo siku zote?
Kwa nini binadamu wengine hatumtambui Mungu huyo kama yupo?
Je Mungu huyo hakujua kwamba sisi Atheists tutakuja kumtambua yeye hayupo atudhibiti mapema na kutufanya tumtambue yupo?
Mungu huyo akisha tambuliwa yupo inamsaidia nini?
Kwani Mungu huyo hajitambui yupo mpaka sisi binadamu tumtambue yupo ndio ajue kwamba yupo?
Sifa za Mungu unazijua?Hapo unachanganya kutokuwepo Mungu na kupinga mambo yenye kuhusishwa na Mungu, hata wenye kuamini uwepo wa Mungu pia hutofautiana baadhi ya mambo yenye kuhusishwa na Mungu ila kwa pamoja hukubali uwepo wa Mungu.
Mungu ni nini?Hayo maswali yako hata ukipewa majibu yake hayathibitishi kuwa Mungu yupo na pia usipopewa majibu yaje pia haithibitishi kuwa hakuwa hakuna Mungu pia.
Kwa uelewa wako Mungu ni nini?Kama unadhani hayo uliyoyauliza ni yanahusiana na kutokuwepo kwa Mungu basi tusingeona waliyokuwa wapingaji uwepo wa Mungu kubadilika na kuwa waamini Mungu ilihali bado hawajajibiwa hayo maswali, na ndio maana nasema hilo suala la watu kubadilika kuwa wakana Mungu na wengine kubadilika na kuwa waamini Mungu linatafakarisha.
Sio wewe mkuu uliyesema kuamini aina ya huyo Mungu hata mtoto mdogo hawezi kukubali kwamba haihitaji akili kubwa kujua kuwa hakuna huyo Mungu? Mimi nilielewa kuwa kuamini huyo Mungu ni ukosefu wa akili iliyo sawa sawa kwa maana watu ambao hawana akili sawa sawa ndio wanaamini Mungu.Nimekwambia tangu mwanzo kwamba, Akili kila mtu anazo.
Hakuna uhusiano wowote wa kuwa na akili na kutoamini Mungu, Au kutokuwa na akili na kumwamini Mungu.
Imani ni maamuzi ya mtu. Na hukatazwi kuwa na imani.
Ila ukisema imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.
Hivyo hata kusema una imani ya Mungu ni uhuru wako kusema hivyo.
Ila ukidai kwamba imani yako ya Mungu ndio yenye ukweli lazima uthibitishe hilo.
Na ueleze Mungu huyo ni nini?
Na unathibitisha vipi Mungu huyo yupo?
Na si imani na mawazo yako ya kufikirika tu.