Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Kuna Clubs na Vilabu.

Clubs kuna Vijana, na kama hao ndio wanaodhani umezeeka, ujitathmini haswa.

Kwenye vilabu, huko ndio kuna wanzuki, gongo, mataputapu n.k n.k-kuna wazee huko, wanakupa prop tu uwanunulie gilasi-Sepa- hata hivyo hizo pombe zinazeesha haraka

Huwa unaenda zipi sijui
 
Situmii pombe wala Sikai kwenye vilabu vya pombe. Labda kwenye vijiwe vya kahawa ndipo napenda kukaa sana.
 
Picha mkuu
Tujue labda umefuga ndevu
 
Kiongozi kipara hicho ndo kinawachanganya watu, Na unapenda kuachaga ndevu za mashavuni kwann!? Sio salamu tu hata wanawake wa Rika lako wanakukataa.

Kiongozi kama huna kipara tusameheane tu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Muda gani huwa unaactivate mood ya serious tukutumie kwenye ushauri Bichwa komwe
 
BILA PICHA, HUU UZI NI BATILI
 
Ww ni kijeba kabisa miaka yote hiyo 25!!??
Zee kabisa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…