Ayos
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 981
- 2,454
Nimekupa solution hiyo, najua nlicho andika, wee fanyia kazi utaniambiaKununa ni kweli, mikausho mikali muda wote. Kuhusu nguo navaa sana official na makoti makubwa ya vifunguo vitatu 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupa solution hiyo, najua nlicho andika, wee fanyia kazi utaniambiaKununa ni kweli, mikausho mikali muda wote. Kuhusu nguo navaa sana official na makoti makubwa ya vifunguo vitatu 😂😂
Pesa sio sababu, labda kwakuwa napenda kukaa na watu wazima sana na pia naongea kwa heshima na wakubwa kwa wadogo.Unapesa mingi? Kama jibu ndio ni sawa tu kupewa heshima hata na wakubwa zako!
Ila uwalaza hua unafanya mtu aonekane age wentUpo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
NakaziaTuone picha ya sura na umbo tujiridhishe
Situmii pombe wala Sikai kwenye vilabu vya pombe. Labda kwenye vijiwe vya kahawa ndipo napenda kukaa sana.Kuna Clubs na Vilabu.
Clubs kuna Vijana, na kama hao ndio wanaodhani umezeeka, ujitathmini haswa.
Kwenye vilabu, huko ndio kuna wanzuki, gongo, mataputapu n.k n.k-kuna wazee huko, wanakupa prop tu uwanunulie gilasi-Sepa- hata hivyo hizo pombe zinazeesha haraka
Huwa unaenda zipi sijui
Picha mkuuNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Kiongozi kipara hicho ndo kinawachanganya watu, Na unapenda kuachaga ndevu za mashavuni kwann!? Sio salamu tu hata wanawake wa Rika lako wanakukataa.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Sasa hapo unanishauri nifanye nini, niende uturuki au nianze kufanya scrub 😅😂😂Sura mkuu ni miongoni mwa sababu. Mm sikuzote naonekana mdogo kiumri. Hakuna aliyewahi patia umri wangu kwa kuniangalia. Wote husema miaka midogo
Ndevu zipo kiasi tuPicha mkuu
Tujue labda umefuga ndevu
😂😂😂 Muda gani huwa unaactivate mood ya serious tukutumie kwenye ushauri Bichwa komweKijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinye mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
Kama ni hivyo hao wanaukasilimia labda wanakuogopa 😅Ndevu zipo kiasi tu
BILA PICHA, HUU UZI NI BATILINimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Ww ni kijeba kabisa miaka yote hiyo 25!!??Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi weka picha. But in reality umri wangu ni 22yrs.Hebu weka picha tuone tatizo liko wapi