Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Utapewa ushauri wa kila aina Ila mambo yanayomzeesha MTU haraka Sana ni

Stress
Stress

Sigara na bangi

Pombe zinaharibu mfumo wa ndani zaidi maini na figo ,moyo n.k

Pambana uzishinde stress kwanza.
 
Utapewa ushauri wa kila aina Ila mambo yanayomzeesha MTU haraka Sana ni

Stress
Stress

Sigara na bangi

Pombe zinaharibu mfumo wa ndani zaidi maini na figo ,moyo n.k

Pambana uzishinde stress kwanza.
Nadhani stress kwa umri huu ni kawaida hasa ukiwa tayari umeanza kuyabeba majukumu. Ila nitajitahidi kupunguza
 
Situmii pombe wala Sikai kwenye vilabu vya pombe. Labda kwenye vijiwe vya kahawa ndipo napenda kukaa sana.
Safi sana hunywi pombe ila kahawa nayo inaweza kuchochea muonekano wa ngozi yako kuonekana una ka uzee fulani. Au labda ni Genes nzuri tu. Kwani kuonekana umezeeka kuna kupunguzia nini? Hamna . Baraka hizo.
 
Akuna cha Coca wala Pepsi mkuu ......acha kumdanganya huyu dogo ....Pombe nagonga vzr Nakula Vizuri ..Sijisifii ila kazini tu kuna madem kibao wananifukuzia.
 
Acha bangi,viroba na pombe za ofa!
 
Safi sana hunywi pombe ila kahawa nayo inaweza kuchochea muonekano wa ngozi yako kuonekana una ka uzee fulani. Au labda ni Genes nzuri tu. Kwani kuonekana umezeeka kuna kupunguzia nini? Hamna . Baraka hizo.
Kuna mzee mmoja niliwahi muuliza hivyo, akaniangalia akasema ni kwasababu ya utofauti mkubwa nilio nao na vijana wengine wa rika langu. Nikamuuliza ni tofauti zipi akasema namna ninavyo ongea na appearance yangu kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…