Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

Ufipa kuna magaidi hapo!
 
Kwa UFINYU wa akili yako ila wewe mburula wa lumumba ndiyo unajua kila kitu siyo!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaaaa........ habari za Ufipa zipo kiganjani bwashee!
 
Hai Haijalishi kura zinatoka kwa akina nani ,kwa lengo au kusudi gani
Sisi tunajua tunapata kura nyingi zaidi ya mgombea mwingine hivyo kuongoza na kutangazwa washindi
 
Lissu ni muasi na sifa ya muasini ni kuwa ana macho haoni, ana masikio hasikii. Lissu asipobadilika sijui hatima yake itakuwa nini.

Huwezi kuinajisi nchi ya Tanzania kwa kutetea ushoga. Kwa kauli za kijinga jinga kama ooh serikali ibadilishe katiba kifungu/kipengele cha faragha kuonesha kama kweli inapinga ushoga.

Ni bahati mbaya sana kuwa fedha za walipa kodi wa Tanzania zilimsomesha mwanasheria bogus kiasi hiki. Kuwa anatumia ujuzi wake washeria ku-manupulate sheria ili atetee ushoga. Lissu anafikiri kula mtu ni mjinga na atamchezea na kumdanganya. Walio tunga sheria ya katiba hawakuweka kifungu cha faragha wakilenga kutetea ushoga huo ndio ukweli. Ila Lissu kwa vile kawa mnufaika wa ushoga anachomekea hoja yake hapo baada ya kuona pengine yako mapungufu ya kisheria.

Wakati mwengine Lissu atumie hata hekima basi, mbona anaenda kiwehu wehu hivi tu. Mfalme Sulemani alipoamua kesi ya wamama wawili walio kuwa wakigombea mtoto asinge tumia hekima akaenda kichwa kichwa kwa sheria tu, sijui hatima ya wamama wale na mtoto yule ingalikuwa nini?

Na ashukuriwe Mungu kwa sababu wakati Taifa hili limeungana kumuomba kuhusu corona huyu laana tula hakuwepo. Pengine angali kuwepo na sera zake za ushoga tungali kuwa chukizo mbele ya Mungu.

Corona bado inasumbua wengine, ni yeye anamchokoza Mungu kwa kuongelea na kuuteta ushoga kwa hila za kisheria. Na ajue Mungu huliadhibu taifa kwa vita, njaa, magonjwa ya mlipuko etc. Kama kweli Watanzania tunajielewa tunatakiwa tumuogope huyu bwana kama ukoma. Lissu aache kushadadia ushoga asituchonganishe na Mwenyezi Mungu. Come on, Lissu Stop This Nonsense!
 
Tuwe wakweli ukiangalia akili ya jiwe utaifananisha na ya Lissu?
Jiwe hafai ndugu yangu
 
sijawahi kupiga kura hata mara moja na sikuona umuhimu wa kufanya hivyo,lakini kwa mara ya kwanza nitapiga mwaka huu,na nitampigia Tundu lissu.Sababu zipo nyingi za kumpigia tundu lissu,huyu jamaa ni mpinzani kweli,na harakati zake za kudai haki na kuwapigania watu hajaanza leo,japo kuna propaganda mbaya nyingi zinazoanzishwa na wapinzani wake wa kisiasa kumuhusu yeye ili kumchafua,kwa sisi au mimi nilienza ku kafatilia harakati zake tangu muda mrefu,sina shaka kabisa kwenda kumpa kura yangu kwa mara ya kwanza.
 

..sasa kwanini IGP Sirro anamchukia Tundu Lissu kiasi hiki?

..Tangu Lissu arejee nchini IGP amekuwa mtu wa kununa na mwenye hasira wakati wote.
 
Kunywa maji umeze haya makamasi uliyojaza hapa.
 
Hehehee as long as atashinda hayo mengine ni yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…