Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

Halafu ukichukulia anachuana na aliyemsababishia Masahibu yote hayo na anamkimbiza
 

..stop this rubbish.

..UONGO wa namna hii kawadanganye watu wa vijijini ambao hawajasoma.

..sisi wengine tumesoma, na zaidi ni watu wazima.

..nimeshuhudia tawala zote za nchi hii kuanzia ya Mwalimu Nyerere.

..SIDANGANYIKI.
 
*Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari*

Chief, habari za muda huu?

Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, nyumbani kwake, *Tegeta (Azania) jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, Oktoba 2, 2020, *saa 10.30, jioni*, kuhusu jambo la dharura na muhimu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.

Tunatanguliza shukrani na samahani kwa wito huu wa dharura sana. Asante sana.

*Tumaini Makene*
*Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano*
*Chadema*
 
Kama ndio CCM huko Lumumba ndio mna akili za kipumbafu namna hiyo basi mna kazi sana , kwahiyo Lissu alivyofukuzwa ubunge , kunyimwa matibabu na mafao yake mnaona ni sahihi ? Sasa watu wakimuonea huruma nyinyi kinawauma nini ? Wewe hujui kuwa Jiwe anachukiwa nchi nzima kwa ajili ya vitendo vyake na kauli zake za kifechuli ? Mtu usiongeze mishahara , usipandishe madaraja miaka mitano , ubomolee watu nyumba zao , ufukuze watu kazi kwa maonezi , ubambikie watu kesi , uibe hela za tetemeko la Kagera , wetu watekwe , wauwawe ,wapotezwe , wafungwe , upore hela za watu bureau de change , bank kwenye akaunti za matajiri , Hawa wote unafikiri watampigia kura Jiwe ? Kwa Akili zenu za Lumumba wakimpigia kura Lissu ni kwa sababu alifukuzwa ubunge akanyimwa na mafao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…