Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukichukulia anachuana na aliyemsababishia Masahibu yote hayo na anamkimbizaKinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!
Lissu alipewa na anapewa tuhuma nyingi dhidi ya Uhuru na Amani ya Tanzania. Kuwa ananjama na watu wa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania. Ingawa wa ndani ya Tanzania wanamtumia Lissu very systematically na wako very careful kutimiza agenda yao ya kumtikisa JPM na serikali yake ili wapoteze msimamo na kutokujiamini. Serikali na JPM na wanaomsaidia wakikosa misimamo na mambo kuvurugika, kwao wao wavurugaji ni neema imewatembelea.
Haya mambo anayofanya Lissu na wabia wake hayana tofauti na hujuma Tanzania iliyokuwa inafanyiwa na Makaburu, Wareno na wale ambao walikuwa na masilahi na makaburu enzi zile. Kwa nini njia zile zile zilizo tumika kwa Makaburu, Mreno na Iansmith wa Rhodesia zisitumike leo. Zikiwa zimeboreshwa na kwenda na wakati wasasa.
Lissu hujuma zake zina na mkono wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni mafisadi ambao maslahi yao yameguswa na wengine hawana uhakika kesho yao itakuwaje. Kumbuka tuliambiwa yuko mtu alikutana na Manji uarabuni. Msifikiri Manhi kalala na anafurahia huko aliko. Akikumbuka share ya asali yake iliyopunguzwa katika hili jungu la Tanzania, si rahisi akae asifanye kitu. Hakosi watu walio kwenye payroll yake wanaloeta figisu Tanzania. Huu ni mfano mmoja tu.
Ni rahisishe kwa hali ilivyo Lissu na cdm wamegeuka kuwa wajasiria ufisadi, watetea ushoga na mabeberuni. Hii ni biashara kamili isiyo rasmi Tanzania sasa kama ilivyo ya mihadarati. Robertisoni na wenzake ni wabia wa uwejezahi Tanzania kwa kupitia mbia wao Lissu na cdm. Bahati hawa ni vissible uwe na uhakika wako the invissible ndio wanao matamko ya balozi kana USA, etc.
IGP Sirro anafanya wajibu na kaziyake, hahitaji kupingwa kwa hizi propoganda. Wala si yeye tu wote wanaofanya kazi serikalini wanao wajibu huo na wabatakiwa wasaidiwe na Watanzania wazalendo, si kukatishwa tamaa. Unless mfanyakazi uwe umeahidiwa na Lissu na mafisadi kwamba Lissu akiwa Rais wewe ndio IGP wa serikali yake, hao hawakosi pia. Of which ni usaliti wa kioapo cha kazi yako and it ,amounts to fatal consequences. Ikijulikana.
Hii pia inawahusu wastaafu walio staafu kwa heshima, chochonde msidanganyike. Wako wanaopita huko na huko wakiwashawishi. Mfano, ni kwa mujibu wa JPM juzi hapo njombe alipokuwa anampongeza Waziri wa maji mtumbuliwa, ambaye yeye angalau eti kashinda vishawishi vya kufanya vitendo vya usaliti, hujuma, na uasi kwa serikali/Taifa
Si IGP, si Mwenyekiti wa NEC, Mkuregezi wa Takukuru na Wakuu wengine wote wa ngazi mbalimbali hata wafanyakazi wa idara za serikali. Kuweni macho na makini.
Some people are out there working tiredlessly day and night 24-7 making sure that you fail miserablly with your trusted noble duties to Tanzanians.
Utashangaa motives zao wengine ni husuda tu, wengine chuki kwa sababu JPM kasema ukweli kuwa wakati flani palitokea serekalini uzembe aeiou. Mwingine hakujua kwamba ipo siku wadhifa alikuwa nao serikalini atalazimika kuuacha. Suala la cheo/wadhifa ni dhamana lina kuendelea, kuongezeka, kushuka na hata kwisha. Yeye kwake ikitokea hayuko ni nongwa ni shonde. Kazi iliyo baki kwake ni kutafuta kuwakwamisha waliopo jszini ili washindwe, yaani hivyo. Yako mengi haya semwi "in The Bulldozzer tone.'