The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Hapo kwenye kunywa kiasi,wengi wanashindwa labda siku hiyo uwe na hela kidogo...yan una mtonyo mrefu,halafu uko na washakaji mix wachuchu halafu upo kiwanja kikali..haaa huo mtihani kuushinda MUNGU aingilie katiUkinywa kwa kiasi inakuwa ni starehe, ukinywa kwa pupa inakuwa sio starehe sasa ni karaha
Formula ya pombe idhibiti, isikudhibiti, kwa maana "ukiingia kwenye mfumo" wake umeishaa [emoji3][emoji2][emoji1]
Hatujui walevi wew,...Mimi ndio namnunulia. Hata siku moja sijawahi kuona akinywa bila mimi kumletea
Ujifanyie maombi,ikatae hiyo hali.Mimi nakunywa tungi sana,ila wanaosema pombe mbaya siwabishii kabisa kwa visanga nilivyopitia na nilivyoona aisee,kwanza addiction ya pombe sio mchezo na kuacha ni kipengere..wengine sie tumepelekwa hadi kwa mwamposa lakini imeshindikana
Tangu nianze kunywa pombe sijawahi kupata hiyo hangoverShida sio pesa Mzee,hakuna kitu kinakera kama hangover...
Mi sisemi kitu 😅Wee 🤣🤣🤣🤣
Sitaki tutaharibu ujirani wetu.
Aah sio kweli,we pombe hunywi mze, unaonja tu..yan hujawahi kupata hangover hata ulipokuwa ukianza kunywa masanga!!!!Tangu nianze kunywa pombe sijawahi kupata hiyo hangover
Pesa na wanawake, achana na pombe mkuu🤣Mpaka sasa sijui nishike lipi ili niwe na furaha kati ya pesa, pombe au wanawake.
Pesa na pombePesa na wanawake, achana na pombe mkuu🤣
Haya maua Mungu aliyotupa bure unamuachia nani.Pesa na pombe
Katikkati ya pesa na pombe wamo hapoHaya maua Mungu aliyotupa bure unamuachia nani.
Kwamba?Hatujui walevi wew,...
Eti hajawahi kunywa mpaka uwepoo ....mtego huo broooo
DaaahMpaka sasa sijui nishike lipi ili niwe na furaha kati ya pesa, pombe au wanawake.
Hua unalamba lamba tu mzee,haunywi.Tangu nianze kunywa pombe sijawahi kupata hiyo hangover