Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Ukinywa kwa kiasi inakuwa ni starehe, ukinywa kwa pupa inakuwa sio starehe sasa ni karaha

Formula ya pombe idhibiti, isikudhibiti, kwa maana "ukiingia kwenye mfumo" wake umeishaa [emoji3][emoji2][emoji1]
Hapo kwenye kunywa kiasi,wengi wanashindwa labda siku hiyo uwe na hela kidogo...yan una mtonyo mrefu,halafu uko na washakaji mix wachuchu halafu upo kiwanja kikali..haaa huo mtihani kuushinda MUNGU aingilie kati
 
Back
Top Bottom