Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Mkeo amekuzidi kipato na unywaji. Haiwezekani mwanaume unaagizwa bia.
Siagizwi namnunulia kwa mapenzi yangu mimi mwenyewe.....hasa nikitaka kumpa Kichapo kitakatifu cha 6x6
 
Kautafiti kako mkuu ni 100%, mm situmii CH4CH2OH lakini, wale jamaa wana furaha sana hilo huwa national tukiwa mpirani kweye bar tofauti tofauti
Nilidhani ni mimi tu.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sijazungumzia Amani naongelea Furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…