Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #101
We unakunywa zile clean......uliza watu wa mataputapuTangu nianze kunywa pombe sijawahi kupata hiyo hangover
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unakunywa zile clean......uliza watu wa mataputapuTangu nianze kunywa pombe sijawahi kupata hiyo hangover
Sasa kama hana pesa yeye burudani apate wapi?Mpe masikini kilevi asahau shida zake
Heheh unamshawishi afanye dhambi?Kama unaitamani wewe kunywa tu, imani za kuletewa hizi mkuu.
Hehehe majuto ni mjukuuKama unahisi pombe ni starehe,jaribu kunywa uone..
Tunapokunywa tunaona starehe,ila kesho yake ndo utaelewa...
Tunazifanya nyingi sana mkuu, kuweka kambi tu humu kwa uzi huu nadhani huyo muumba hapendi.Heheh unamshawishi afanye dhambi?
Au anakunywa c lite mojaHua unalamba lamba tu mzee,haunywi.
Siagizwi namnunulia kwa mapenzi yangu mimi mwenyewe.....hasa nikitaka kumpa Kichapo kitakatifu cha 6x6Mkeo amekuzidi kipato na unywaji. Haiwezekani mwanaume unaagizwa bia.
HeheheTunazifanya nyingi sana mkuu, kuweka kambi tu humu kwa uzi huu nadhani huyo muumba hapendi.
Walevi hawatupaniSasa kama hana pesa yeye burudani apate wapi?
Marioo huyoSorry hii nyimbo kaimba nani mbona beat kali aiseeee......
Labda vichwa vyenu tu,nimeanza na bingwa,the kick,eagle,balimi baada ya hizo kunijaza tumbo na kukojoa hovyo saiv nipo kwenye muha k can't,valuer sijawahi kupata hangoverHua unalamba lamba tu mzee,haunywi.
Yaani umoja wao ungekuwa na kwa mambo mengine tungefika mbali kama Taifa.Walevi hawatupani
Nilidhani ni mimi tu.😆😆😆Kautafiti kako mkuu ni 100%, mm situmii CH4CH2OH lakini, wale jamaa wana furaha sana hilo huwa national tukiwa mpirani kweye bar tofauti tofauti
Mkuu ulipotelea wapi?Kuna msemo unasema "Usimuamini mwanaume yeyote asiyekunywa pombe"
Sijazungumzia Amani naongelea FurahaUtafiti huo umeufanyia bar?
Sasa mtu asiye mlevi atafurahi vipi akiwa bar?
Ushawahi kumkuta asiyevuta bangi kijiwe cha wahuni, ni hana amani kabisa, anawaza nikikamatwa mimi hapa itakuwaje?😂
Sisi sio walevi wa alcohol na tuna amani, fanya utafiti wako upyaaa
Na wewe acha kuhusu vitu usivyovijua.Wanaonekana wanafurahia.
Acha kuhi hisi vitu usivyovijua
HehehPombe tamu jamani daaa!! Hebu chukua
K- vant changanya na wine uone
Hapahapa Mjini aisee, ila nimerudiMkuu ulipotelea wapi?