kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 588
- 463
Huku wanapo lipa hiyo laki3 wapi toa connection
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio bongo na hakuna niliposema bongo tulia kijana soma ukiwa imetulia usikutupukeNani bongo analipwa m200 kwa sekunde na anaona bado haitoshi
Huna lolote la maana hapo ulipo wenye ya maana ni wazuri kupiga watu tafu nyinyi kajamba nan kama sie ndio mnajikutaga mmeyaweza maisha una kipi ww mpk uwe mshauri wa vijana? Kwa nn kujifanya important kwny hii ardh ya mama samia!? Nakutana na ww live nakufanyia shambulio la aibu nakunyanysa kijinsia je utanipa kesi?Ukweli ni kwamba vijana wasasa mnapenda sana kulalamika, then mnakaujuaji flani ka kipuuzi sana na wakati woooote mnaona kama mnaonewa sanaaaa......
By the way, hiyo degree yako ukiona imekufanya wa thamani sana basi nenda ukaile au ibadilishe ikuliletee pesa kama unavyo taka.
Vijana hamtaki kuanzia chini kisa tu una degree...rubbish empty set kabisa...🤥
Kuna kitu nita-quote hapo juu ukisome kwa umakini sanaHuku wanapo lipa hiyo laki3 wapi toa connection
2.wewe ni jobless hutak wenzio wasaidiwe
Waafrika ni viumbe wenye roho mbaya sana
Mkuu niunganishe na hio kazi ya 400K na Mimi maisha magumu mtaaniHapa kazi kamlete lakn ww si umetoka kunichana thread nyingine unanipa ushauri kumbe na ww ni jobless
Ujakosea degree sio kigezo cha yeye kulipwa mapesa mengiUkweli ni kwamba vijana wasasa mnapenda sana kulalamika, then mnakaujuaji flani ka kipuuzi sana na wakati woooote mnaona kama mnaonewa sanaaaa......
By the way, hiyo degree yako ukiona imekufanya wa thamani sana basi nenda ukaile au ibadilishe ikuliletee pesa kama unavyo taka.
Vijana hamtaki kuanzia chini kisa tu una degree...rubbish empty set kabisa...🤥
Wewe km huna hio roho toa connection ya unapolipwa laki 4 bila hivyo wewe nawe ni wale wale tu, what goes around comes around watu wanautaka huo mkate wa laki 4 kwa muhindi uonyeshe hapa toa connection acha makelele yako hapauna ulemavu fulani kutilia watu kauzibe jobless flan wew huna lolote kwenye maisha haya so idle get busy pure mswahili roho ya kutu roho ya kwa nn unajipa
Toa connection muhindi gani anakulipa laki 4 kwa kazi gani? Upo kazini mda huu unachat JF na unalipwa laki 4 unamjua muhindi wewe au muhindi shemeji yako/baba ako wa kambo?Kilichobaki titatupiana majini dharau ni nyingi hii ardhi tutashikishana adab ngoja siku nikienda kwa mtaalam wangu akyanan mnaojificha kweny ID kuleta shombo nitawarushia kifaa cha hatari mtakuja tubu
Mkuu kimyaUjakosea degree sio kigezo cha yeye kulipwa mapesa mengi
Sema kkuna watu unaweza wapa connection wakaj haribu kazi kijinga kabisaWewe km huna hio roho toa connection ya unapolipwa laki 4 bila hivyo wewe nawe ni wale wale tu, what goes around comes around watu wanautaka huo mkate wa laki 4 kwa muhindi uonyeshe hapa toa connection acha makelele yako hapa
Nimekuona muda mrefu unazunguka zunguka kama mlupo uliiona danga njoo bas pm nikuunge hiyo kaz mm nikunyime kazi ya kuua mapafu useme staright mwanangu eeh mie pia nipo kitaa siunajua kichina bab nigee hayo mashavu CV hapa niguvu yako acha unafki mswahili sana ww mtotoWewe km huna hio roho toa connection ya unapolipwa laki 4 bila hivyo wewe nawe ni wale wale tu, what goes around comes around watu wanautaka huo mkate wa laki 4 kwa muhindi uonyeshe hapa toa connection acha makelele yako hapa
Punguza makeleleKilichobaki titatupiana majini dharau ni nyingi hii ardhi tutashikishana adab ngoja siku nikienda kwa mtaalam wangu akyanan mnaojificha kweny ID kuleta shombo nitawarushia kifaa cha hatari mtakuja tubu
Jibu bana😂😂😂..Sio bongo na hakuna niliposema bongo tulia kijana soma ukiwa imetulia usikutupuke
Wewe mzinguaji nilikuambaia pm ukaja kuleta hapa jukwaani for which reason? Kashapatiikana mtu na najua ungekujaaa kuharibu kaziMkuu kimya
Nyoosha maelezo sio unapiga Kona Kona muhindi gani anakulipa laki 4 kwa kazi gani? hakuna muuza madafu anaelipwa laki 4Nimekuona muda mrefu unazunguka zunguka kama mlupo uliiona danga njoo bas pm nikuunge hiyo kaz mm nikunyime kazi ya kuua mapafu useme staright mwanangu eeh mie pia nipo kitaa siunajua kichina bab nigee hayo mashavu CV hapa niguvu yako acha unafki mswahili sana ww mtoto
Endelea kuchangamsha genge unawasema wenzio kumbe usichokijua unajisema mwenyewe 🚮🚮🚮Umeitwa hapa?
Bongo hakuna huo nimetoa mfano tu hakuna Pesa inayotosha kwa binadamu yoyote, kikubwa ni kuridhika na unachokipata kinyume chake utakua MWIZIJibu bana😂😂😂..