Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

Wewe mzinguaji nilikuambaia pm ukaja kuleta hapa jukwaani for which reason? Kashapatiikana mtu na najua ungekujaaa kuharibu kazi
Inamaana hukujua sababu ya kuleta hapa jukwaani na sikueleza sababu Mimi kuleta hapa.

Anyway Mpini ulikuwa upande wako good.
 
Frustration zitawamaliza vijana wenzangu Just be humble... Cuz watu wana background check nyuzi zenu mnazo comment and they see sh!T so tulieni na mjaribu kuwa wastaarabu kwenye kila comment mnayo toa kwenye Thread yeyote ile Otherwise yu ain't got no connection and sh!T
 
Ni kweli, wanasema kimtokacho mtu ndicho kiujazachi moyo wake si ndio?? japokuwa tuwaelewe, kuna muda wanapitia alot of frustrations na kila mtu yuko tofauti katika kupunguza makasiriko. Hasa watoto wa kiume wanapitia mengi sana jamani na njia yao ni ngumu Kweli kweli. Hivyo kuna muda wanahitaji huruma na kutiwa moyo.

Shida ni kuwa mtoto wa kiume kuna muda anahitaji hardlove, ile unamuonea huruma kipembeni live unamchapa bakora/masimango ili kumpush, maana ukimdekeza dekeza sana napo kitakukuta kitu.

I’m a sister, ninachokiongea nakielewa. Lets be nice….
 
Huna lolote la maana hapo ulipo wenye ya maana ni wazuri kupiga watu tafu nyinyi kajamba nan kama sie ndio mnajikutaga mmeyaweza maisha una kipi ww mpk uwe mshauri wa vijana? Kwa nn kujifanya important kwny hii ardh ya mama samia!? Nakutana na ww live nakufanyia shambulio la aibu nakunyanysa kijinsia je utanipa kesi?
Ukiona lemba lina maji, basi msuli ushaloa.....😜😜😜😜😜😜😜
 
Ujakosea degree sio kigezo cha yeye kulipwa mapesa mengi
Nilimsikia mwanasheria mmoja anasema kwamba.....
Vyeti vinakutambulisha tu kwamba ulipitia chuo foani ukakaa pale kwa miaka kadhaa.
Lakini swali ni, je ulipata maarifa??
Yule jamaa alisema kwamba, ukipata maarifa you can survive popote bila vyeti.
 
Si mpaka hayo maarifa yaendane na uhalisia
 
Si mpaka hayo maarifa yaendane na uhalisia
Tumia akili na maarifa uliyo yapata chuoni ili uweze kujikwamua katika ugumu wa maisha maana hakuna sehem ilio andikwa kwamba wewe lazima utaajiriwa baada ya kupata degree, masters, phd na kadhalika
 
Elimu haileti mtaji mtaji una njia zake za kuupata lazima uwe na kitu cha kukubeba nafanya kazi ya hand to mouth unaniambia nichange mtaji labda miaka 10 😅😅😅
Jaribu kubadili hii mindset. Samahani kama nimekushauri vibaya ama nimekusimanga
 
Back
Top Bottom