Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

Tumia akili na maarifa uliyo yapata chuoni ili uweze kujikwamua katika ugumu wa maisha maana hakuna sehem ilio andikwa kwamba wewe lazima utaajiriwa baada ya kupata degree, masters, phd na kadhalika
Mbona unanichamba mimi sasa
 
Ukiona lemba lina maji, basi msuli ushaloa.....😜😜😜😜😜😜😜
Unajichekesha kama kicheche.....ungekuwa unagawa riziki sijui ingekuajr ulivyo na roho mbovu... Mungu ndio mtoa rizik tunachelewa tu ila kila mmoj ana siku yake
 
Jaribu kubadili hii mindset. Samahani kama nimekushauri vibaya ama nimekusimanga
Sijakuomba ushauri ni kiherehere tu kinakuwasha.... mindset yangu hii hii nitatiboa kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu Yesu ananipenda napigika ila hajawai nisusa ananiokota nasonga one day nitatusua mazima kmnn zenu
 
Unajichekesha kama kicheche.....ungekuwa unagawa riziki sijui ingekuajr ulivyo na roho mbovu... Mungu ndio mtoa rizik tunachelewa tu ila kila mmoj ana siku yake
Punguza makasiriko binti, wakati wako ukifika utapiga noti tu.
 
Back
Top Bottom