Inamaana hukujua sababu ya kuleta hapa jukwaani na sikueleza sababu Mimi kuleta hapa.Wewe mzinguaji nilikuambaia pm ukaja kuleta hapa jukwaani for which reason? Kashapatiikana mtu na najua ungekujaaa kuharibu kazi
Asante mkuu.Bongo hakuna huo nimetoa mfano tu hakuna Pesa inayotosha kwa binadamu yoyote, kikubwa ni kuridhika na unachokipata kinyume chake utakua MWIZI
Wewe ni msomi ambae bado haujaelimika sio kosa lakoHaya nalipwa elfu 30 kwa mwezi. Roho yako imepata amani?
Waswahili 🚮
Kamilisha nilicho kuambia ukikamilisha nitafuteInamaana hukujua sababu ya kuleta hapa jukwaani na sikueleza sababu Mimi kuleta hapa.
Anyway Mpini ulikuwa upande wako good.
Utapata very soon amini hivyoMdada nipo hapa wakuu,
Natafuta connection ya kazi...
AmenUtapata very soon amini hivyo
Ni kweli, wanasema kimtokacho mtu ndicho kiujazachi moyo wake si ndio?? japokuwa tuwaelewe, kuna muda wanapitia alot of frustrations na kila mtu yuko tofauti katika kupunguza makasiriko. Hasa watoto wa kiume wanapitia mengi sana jamani na njia yao ni ngumu Kweli kweli. Hivyo kuna muda wanahitaji huruma na kutiwa moyo.Frustration zitawamaliza vijana wenzangu Just be humble... Cuz watu wana background check nyuzi zenu mnazo comment and they see sh!T so tulieni na mjaribu kuwa wastaarabu kwenye kila comment mnayo toa kwenye Thread yeyote ile Otherwise yu ain't got no connection and sh!T
Nishakamilisha mida na nimekujuza PM muda nilisubiri mrejesho wakoKamilisha nilicho kuambia ukikamilisha nitafute
Ukiona lemba lina maji, basi msuli ushaloa.....😜😜😜😜😜😜😜Huna lolote la maana hapo ulipo wenye ya maana ni wazuri kupiga watu tafu nyinyi kajamba nan kama sie ndio mnajikutaga mmeyaweza maisha una kipi ww mpk uwe mshauri wa vijana? Kwa nn kujifanya important kwny hii ardh ya mama samia!? Nakutana na ww live nakufanyia shambulio la aibu nakunyanysa kijinsia je utanipa kesi?
Nilimsikia mwanasheria mmoja anasema kwamba.....Ujakosea degree sio kigezo cha yeye kulipwa mapesa mengi
Si mpaka hayo maarifa yaendane na uhalisiaNilimsikia mwanasheria mmoja anasema kwamba.....
Vyeti vinakutambulisha tu kwamba ulipitia chuo foani ukakaa pale kwa miaka kadhaa.
Lakini swali ni, je ulipata maarifa??
Yule jamaa alisema kwamba, ukipata maarifa you can survive popote bila vyeti.
mtupe connection izoKwa hiyo umeamua kutugombeza??
Tumia akili na maarifa uliyo yapata chuoni ili uweze kujikwamua katika ugumu wa maisha maana hakuna sehem ilio andikwa kwamba wewe lazima utaajiriwa baada ya kupata degree, masters, phd na kadhalikaSi mpaka hayo maarifa yaendane na uhalisia
Jaribu kubadili hii mindset. Samahani kama nimekushauri vibaya ama nimekusimangaElimu haileti mtaji mtaji una njia zake za kuupata lazima uwe na kitu cha kukubeba nafanya kazi ya hand to mouth unaniambia nichange mtaji labda miaka 10 😅😅😅