Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

Maisha yamebadilika kwa sasa, teknoljia imeboreshwa zaidi kwa hio inahitaji input zaidi ili kutoa output ya kuridhisha.

Nina uhakika hapa bongo internet ikiwa unlimited watu wengi data usage zitakuwa ni wastani wa gb 3 daily, kuna votu kibao wengi wanajibana.

Expats kutoka nje wakijaga hapa bongo wanalalamikaga sana vifurushi haviwatoshi.
Expat si aweke broadband?

Ni sawa mkuu mi natumia hadi 100GB kwa siku inategemea nafanya nini, ila kama Huna kujibana kupo pia.
 
Kha!!!! Mi hizo GB60 zingekaa hadi ningesahau kama kuna kujiunga Bando..... MB500 tu siku 2 zinatoboa
watanzania wengi bado hawajui vitu vingi kwenye internet ndio maana hata gb kwa wiki inaweza kutosha

watalii wa majuu wakijaga hapa bongo huwa wanalalamika vifurushi hata vya gb 100 kwa mwezi haviwatoshi, na hapo anatumia net kawaida tu.
 
Expat si aweke broadband?

Ni sawa mkuu mi natumia hadi 100GB kwa siku inategemea nafanya nini, ila kama Huna kujibana kupo pia.
Nimetembelea ttcl wakasema watakuja kuntembelea lakini naona hata hawaji maana nyaya zao zinapita mita kadhaa kutoka kwangu
 
Mimi hiyo gb moja hata nusu saa simalizi naambiwa nishatumia asilimia 100 ya bando😂😂 ni huzuni kwa kweli
 
watanzania wengi bado hawajui vitu vingi kwenye internet ndio maana hata gb kwa wiki inaweza kutosha

watalii wa majuu wakijaga hapa bongo huwa wanalalamika vifurushi hata vya gb 100 kwa mwezi haviwatoshi, na hapo anatumia net kawaida tu.
Naona pia kulingana na mishe za Mtu, sasa mwingine mishe zake labda kukaa Duka la Vyakula kuuza, huyu sidhani kama atakua na tofauti na Mimi MB 500 zinatoboa kabisa siku 2
 
Expat si aweke broadband?

Ni sawa mkuu mi natumia hadi 100GB kwa siku inategemea nafanya nini, ila kama Huna kujibana kupo pia.
Expat wengine wanaishi sehemu hazina briadband inakuwa changamoto.

Ni kweli kabisa kutumia 100 gb kwa siku sibishi, Mtu kama una tv yako bomba umecheki neflix kwa ubora wa 4k kwa masaa 6 hivi halafu ukashusha game kwenye ps, gb 100 ni kama upepo

halafu mkuu, wewe internet yako ya adsl ya 25,000 kwa mwezi inatoboa gb 100 kwa siku ?
 
Kama unakaa eneo lina unlimited Internet, chukua hiyo option. Kwa shughuli zangu sio ajabu kutumia GB20 kwa wiki tena kwa kujibana. Sasa hivi navizia unlimited internet niondokane na issues
 
Mimi hiyo gb moja hata nusu saa simalizi naambiwa nishatumia asilimia 100 ya bando[emoji23][emoji23] ni huzuni kwa kweli
Unatumia hela yangu vibaya wewe!! Si nilisha kuambia wewe uwe unaingia tu jf ku like comment zangu? Sasa gb moja si unaweza kutumia hata wiki mbili Wifey? Tuna msingi wa kumalizia buza, kumbuka

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yani hata hizi gb 60 kwa mwezi kwangu ni ndogo najibana,

- Nafanya online backups za baadhi ya mafaili yangu kwa kujibana bana kwa kuyapa kipaumbele yale mafaili muhimu zaidi.

- Nacheki online tutorials kwa kujibana bana naangalia chache

- Nadownload movies kwa kujibana bana nashusha 720 p ilhali tv yangu inazicheza vizuri zaidi 1440p

- Software updates nazo nazivizia,

-Youtube nacheki kwa 480p sijiachii na 720p

-Insta naingia kwa kuvizia

.... Napata wasi wasi kwamba wengi huenda wanatumia internet kwenye facebook tu
Mkuu hebu tuone Ile data usage kwa simu yako. Unatisha mno. Kila mtu huwa anachokifanya mtandaoni. Binafsi nishawahi kula gb60 kwa usiku mmoja enzi zile halotel gb10 kwa buku hero,
 
Expat wengine wanaishi sehemu hazina briadband inakuwa changamoto.

Ni kweli kabisa kutumia 100 gb kwa siku sibishi, Mtu kama una tv yako bomba umecheki neflix kwa ubora wa 4k kwa masaa 6 hivi halafu ukashusha game kwenye ps, gb 100 ni kama upepo

halafu mkuu, wewe internet yako ya adsl ya 25,000 kwa mwezi inatoboa gb 100 kwa siku ?
Nina Zuku 10mbps ambayo ina offer ya 20mbps, na Adsl ya TTCL.
 
Back
Top Bottom