Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Expat si aweke broadband?Maisha yamebadilika kwa sasa, teknoljia imeboreshwa zaidi kwa hio inahitaji input zaidi ili kutoa output ya kuridhisha.
Nina uhakika hapa bongo internet ikiwa unlimited watu wengi data usage zitakuwa ni wastani wa gb 3 daily, kuna votu kibao wengi wanajibana.
Expats kutoka nje wakijaga hapa bongo wanalalamikaga sana vifurushi haviwatoshi.
Ni sawa mkuu mi natumia hadi 100GB kwa siku inategemea nafanya nini, ila kama Huna kujibana kupo pia.