Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Kazi kweli kweli
 
Hahahhaa yeye anamjua kila mtu JF personally. Mwingine amezaa nae mtoto, mwingine kamkaribisha mjini na kukfundisha lugha, mwingine alimtumia nauli hahahaha mkuu tipa ya mawe inamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana. Mimi nafahamu watu 17 humu ndani. Nawafahamu vizuri kabisa. Na wengine 5 ambao nawafahamu ila hawaifahamu hii ID yangu.
 
Huyu pia anahitaji kufuatiliwa kwa umakini keisangora kajamaa kana matusi kweli yani, achana na hizo ndugu yangu na mambo ya kutumia logic zako za forex hata kwenye thread za ushauri wa mapambano ya maisha katika jamii...🀣🀣🀣
 
Na akija na utambulisho wa ID ya kike wote wanaomchukia wanaanza kumchombeza na kusifu hata pasipo stahili.
Kuna watu wana fikra za hovyo humu,,,hilo wala hawajalifikiria,,,unamchukiaje mtu aliyefake ID bila ya kuelewa kama atakuwa me au ke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…