Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga. Ana chukiwa sana. Sijui sura na umbo lake vitakuwaje.


2. GENTAMYCIME naye jamaa anachukiwa sana. Nimekuwa mara nyingi nikisoma jinsi ambavyo watu wamekuwa wakitaka kuzungumzia mtu wa hovyo wanamtaja jamaa... Sijajua hasa tatizo ni nini. But naye anachukiwa sana humu ndani kiasi inaleta maswali mengi je watu wakija onana naye watamfanya nini? Sijui sura na umbo lake litakuwaje

3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili


Mi nashauri watu wapendane tu humu ndani. Mnaweza kuja oana humu mkapata watoto nao wakakulia humu humu. Kuna mkongwe mmoja alipata mke humu na kuanzia hapo akahama na JF but alikuwa ana madini sana yule jamaa.
Kazi kweli kweli
 
Hahahhaa yeye anamjua kila mtu JF personally. Mwingine amezaa nae mtoto, mwingine kamkaribisha mjini na kukfundisha lugha, mwingine alimtumia nauli hahahaha mkuu tipa ya mawe inamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana. Mimi nafahamu watu 17 humu ndani. Nawafahamu vizuri kabisa. Na wengine 5 ambao nawafahamu ila hawaifahamu hii ID yangu.
 
Huyu pia anahitaji kufuatiliwa kwa umakini keisangora kajamaa kana matusi kweli yani, achana na hizo ndugu yangu na mambo ya kutumia logic zako za forex hata kwenye thread za ushauri wa mapambano ya maisha katika jamii...🤣🤣🤣
 
Na akija na utambulisho wa ID ya kike wote wanaomchukia wanaanza kumchombeza na kusifu hata pasipo stahili.
Kuna watu wana fikra za hovyo humu,,,hilo wala hawajalifikiria,,,unamchukiaje mtu aliyefake ID bila ya kuelewa kama atakuwa me au ke..
 
Na akija na utambulisho wa ID ya kike wote wanaomchukia wanaanza kumchombeza na kusifu hata pasipo stahili.
Kuna watu wana fikra za hovyo humu,,,hilo wala hawajalifikiria,,,unamchukiaje mtu aliyefake ID bila ya kuelewa kama atakuwa me au ke..
 
Back
Top Bottom