Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nakuona team Jiwe siku hizi hutaki kabisa kumuunga mkono mkhojani.Watu wapo busy wanagawana vyeo tu mkuu,
Hapa kila mtu apambane na hali yake huku akimtanguliza Mungu.
Hahahaaaa....... Ngachoka kabisa!Binafsi kilichoniboa zaidi ni kauli ya kamanda wa polisi jinsi alivyoichukulia hiyo taarifa kimzaha mzaha...
Acha tutafute kwanza Naibu Spika asiyeweza kuihoji serikali.Watu wapo busy wanagawana vyeo tu mkuu,
Hapa kila mtu apambane na hali yake huku akimtanguliza Mungu.
The death of one person is tragedy,the death of many people is statistics.Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongoz wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao...
Umesema kweli kabisa Watanzania ni misukule iliyozeeka!inatekeleza chochote inachoambiwa.Hatuna viogozi wa dini ni matakataka yapo yapo tu kuchuma hela za wajinga/misukule yao eti waumini.
Ukiona hivyo wanajua walipo. Fatilia kauli zaoBinafsi kilichoniboa zaidi ni kauli ya kamanda wa polisi jinsi alivyoichukulia hiyo taarifa kimzaha mzaha...
Hata mimi nilimwona anaongea very lightly kuhusu hilo swala, labda kama anajua walipo......Binafsi kilichoniboa zaidi ni kauli ya kamanda wa polisi jinsi alivyoichukulia hiyo taarifa kimzaha mzaha...
Katika hao watano labda wawe wanao, ndo utaelewa kama ni issue au non issue........The death of one person is tragedy,the death of many people is statistics.
Nchi ina watu milioni 55+wakifa watu 5!! It's none issue,unless Kuna ugonjwa wa mlipuko unawaua au Kuna kitu kisicho Cha kawaida kinawaua!!!
Hivi kwanini ndugu wa watu wanaopotea au kupotezwa hawajitokezagi kuongea na vyombo vya habari?! Angalau jamii pana ijue tatizo. Hii itasaidia vyombo vya Dola kuona aibu Na kuchukua hatua.Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongoz wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao...