heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
aiseee vijana sijui watakuwa wapi alafu ni majirani zangu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndo mlichinja ng'ombe, mkapika pombe, mkaweka na mziki alafu mkakamatwa?[emoji28]Acheni uongo na uzushi! Enzi za kuteka na kuuwana si zilishaondoka na yule mwendazake katili hadi tukafanya sherehe siku ya msiba wake.
Unafiki tu wa wanasiasa...now wanaogopa kusema maana tutawahoji kwa kauli zao.Si tuliambiwa habari za kupotea,kutekwa zimeisha tunaishi kwa raha mstarehe kwa amani kabisa baada utawala dhalimu kupita au?
Huyu mnafiki ht press za kuzungumzia Uchumi hafanyi tena, mfumuko wa bei tu kaukalia kimya ndo haya ya kupotea atayatolea mshipa ya kichwa?Ingekua enzi ya Jon ungekuta Zitto ashaitisha press anaongea mpaka mishipa ya kichwa ingekuwa inataka kupasuka,ila kwa sababu naye kwa sasa anakula cake amemute tu