Watu wanapotea, wanakufa lakini wanasiasa na Viongozi wa dini kwao siyo agenda

TumainEli aliwahi kututahadharisha humu kuwa Raisi anapoondoka kuna Mambo Mengi Sana hutokea!! Kuna hata vifo na kipotea kwao watu!!!nahisi wengi tu watapotea!!naomba nisiwe moja wapo!!!
 
Acheni uongo na uzushi! Enzi za kuteka na kuuwana si zilishaondoka na yule mwendazake katili hadi tukafanya sherehe siku ya msiba wake.
 

Mchizi alikua na maadui chungu mzima kila kona rais yule. Hakuna anayepaza sauti
 
Acheni uongo na uzushi! Enzi za kuteka na kuuwana si zilishaondoka na yule mwendazake katili hadi tukafanya sherehe siku ya msiba wake.
Kwa hiyo hao vijana wako honeymoon?
 
Naona aliwafundisha jinsi ya kufanya ko wanaendeleza kila walichojifunza enzi za mwendazake.
Acheni uongo na uzushi! Enzi za kuteka na kuuwana si zilishaondoka na yule mwendazake katili hadi tukafanya sherehe siku ya msiba wake.
 
Nobody cares abt you bro. Ukilitambua hili wala hutoshangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tawala zote za kimabavu zinaposhindwa kwenye sanduku la kura huwa wanakimbilia hii mbinu ya kupoteza wakosoaji wake.lakini mwishowe tawala hizo huanguka.Mfano mdogo ninJoseph Kabila aliuwa wakosoaji wake wanaharakati kama haitoshi akamuweka madarakani mtu aliyedhani atakuwa kibaraka wake matokeo yake akabadili gia angani.Muda ni muamuzi mzuri sana.
 
Ni wakati wa kujitafakari Sana sisi kama Jamii haya tunayoyaona kwa VIONGOZI, Polisi, au taasisi mbali mbali, ni uthibitisho kwamba Jamii yetu iko na walakini kwa sababu wote wametokana na familia zetu ambazo huko ndani haziko ok kabisa, familia zikiharibika huzaa waumini wa hovyo katika nyumba za ibada, huzaa VIONGOZI wa dini makanjanja huzaa VIONGOZI wa vyama vya siasa wa hovyo na kwa bahati mbaya watawala wetu hutokana na vyama vya siasa hivyo haya tunayoyaona ni outcome ya uozo ulioko ndani ya familia zetu.

Tutafute pa kuanzia!!
 
Wameamua watuupuze baada ya kuona familia zetu zinahusika na kupotea kwetu siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…