Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Mpaka Sasa Sijawa Yule Ninayetakiwa Kuwa( Bado Sijawa Mimi ).

Kila Nikijitafakari Naona Bado, Siku Ikifika Ya Kuwa Mimi Nitakuja Kuwaambia!
Sasa hivi wew ni nani???
 
So uliamua kua wewe ni nani?
 
Tupo tunaopenda kusoma mkuu ukiwa na ujumbe mubashara usisite kutupatia vijana wenzio
 
Mtazamo wako unafanana sana kama wa huyu Guru

Sijui ndugu yako.!?[emoji16]

Your browser is not able to display this video.

[emoji327] Were We Really Created by God? - Sadhguru - YouTube
 
Unaweza kuthibitisha kutokueepo kwake..?
Nitawezaje kuthibitisha kitu ambacho hakijawahi kuwepo thibitisha wewe historically
Hakuna muandishi/mwanahistoria wa karne ya kwanza aliyeandika juu ya mtu huyo (wa kubuni) kuwa alitembea juu ya maji, alifufua wafu
 
nitawezaje kuthibitisha kitu ambacho hakijawahi kuwepo
thibitisha wewe historically
hakuna muandishi/mwanahistoria wa karne ya kwanza aliyeandika juu ya mtu huyo (wa kubuni) kuwa alitembea juu ya maji,alifufua wafu
Socrate alikuwepo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…