Watu wapimwe IQ kisha wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo VIP!

Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii.

Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila nikagundua Afrika inabahati mbaya au laana ya kuwapata viongozi wenye IQ ndogo Na ndio maana Afrika mpaka sasa inapambana Na matatizo yaleyale tokea Uhuru.

Jamii inayongozwa Na viongozi wenye IQ ndogo binafsi naona ni kama laana ya umasikini katika jamii husika Na naona jamii hiyo bado wanatumikia adhabu ya laana,kuongozwa au mtu mwenye IQ ndogo na kuwa mafanikio zaidi dhidi ya watu wenye IQ kubwa(akili) ni laana na sio baraka.

Dunia hii imebadilishwa na watu wenye IQ kubwa,mfano watu waliogundua mambo yafuatayo kama solution ya matatizo mbalimbali kama,ndege,computer,Simu n.k sio IQ ndogo.

Imagine MTU mwenye IQ ndogo unamchagua aje awe mtatuzi wa matatizo makubwa ya uchumi,Afya,elimu,technologies n.k haiwezekani..hapa tutaangukia kwenye ufisadi Na kuuwana ovyo tu.
Imagine chawa anakuwa kiongozi duh ..yaani Kwa namna hii Afrika itakaa miaka 1000 inaangaika Na barabara Na matundu ya choo

Binafsi ninatabia ya kumdharau MTU mwenye IQ ndogo hata awe Na mafanikio ya namna gani,huwa najiona Mimi ni bora kuliko yeye hata awe Na cheo au Mali ya namna gani..nafsi inaniambia wewe ni bora kuliko yeye.
 
Hapo VIP!

Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii.

Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila nikagundua Afrika inabahati mbaya au laana ya kuwapata viongozi wenye IQ ndogo Na ndio Afrika mpaka sasa inapambana Na matatizo yaleyale tokea Uhuru.

Jamii inayongozwa Na viongozi wenye IQ ndogo binafsi naona kama wanalaana ya umasikini Na naona bado wanatumikia adhabu ya laana,kuongozwa au mtu mwenye IQ ndogo kuwa Na mafanikio zaidi watu wenye IQ kubwa(akili) ni laana na sio baraka.

Dunia hii imebadilishwa na watu wenye IQ kubwa,mfano watu waliogundua mambo yafuatayo kama solution ya matatizo mbalimbali kama,ndege,computer,Simu n.k sio IQ ndogo.

Imagine MTU mwenye IQ ndogo unamchagua aje awe mtatuzi wa matatizo makubwa ya uchumi,Afya,elimu,technologies n.k haiwezekani..hapa tutaangukia kwenye ufisadi Na kuuwana ovyo tu.
Akili za Waafrika wengi zina matope, ziko very toxic
 
Imagine form four failure anaongoza jamhuri ya watu wa malawi, sio ufala huo ni nn mkuu?!?!.
Halafu anapambwa kwa kupachikwa neno Dr, basi naye anafuraaahi meno yote 32 nje...kumbe wana wanatetea tumbo lao!
 
Hapo VIP!

Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii.

Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila nikagundua Afrika inabahati mbaya au laana ya kuwapata viongozi wenye IQ ndogo Na ndio maana Afrika mpaka sasa inapambana Na matatizo yaleyale tokea Uhuru.

Jamii inayongozwa Na viongozi wenye IQ ndogo binafsi naona kama wanalaana ya umasikini Na naona bado wanatumikia adhabu ya laana,kuongozwa au mtu mwenye IQ ndogo kuwa Na mafanikio zaidi watu wenye IQ kubwa(akili) ni laana na sio baraka.

Dunia hii imebadilishwa na watu wenye IQ kubwa,mfano watu waliogundua mambo yafuatayo kama solution ya matatizo mbalimbali kama,ndege,computer,Simu n.k sio IQ ndogo.

Imagine MTU mwenye IQ ndogo unamchagua aje awe mtatuzi wa matatizo makubwa ya uchumi,Afya,elimu,technologies n.k haiwezekani..hapa tutaangukia kwenye ufisadi Na kuuwana ovyo tu.
Imagine chawa anakuwa kiongozi duh ..yaani Kwa namna hii Afrika itakaa miaka 1000 inaangaika Na barabara Na matundu ya choo

Binafsi ninatabia ya kumdharau MTU mwenye IQ ndogo hata awe Na mafanikio ya namna gani,huwa najiona Mimi ni bora kuliko yeye hata awe Na cheo au Mali ya namna gani..nafsi inaniambia wewe ni bora kuliko yeye.
ok.🐒
 
Teh nasikia Boni Yayi kadai andiko la Uprofesa wa Kitila ulihusu matokeo ya watoto wa kiume kujichua
Ndie mchumi mkuu wa Malawi.
 
Back
Top Bottom