Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Nimecheka mpaka watu wananishangaaUstaarabu upi? Wa kuingilia ata ugomv usiowahusu eti hampens mtu ainewe.
Unakuta unabishana na mtu yuko chin ya kiuno lkn katuna mbya.
HahahahahahaUfupi raha sana unasimama kwenye hiace bila kugonga juu
Anaglia wasije wakakuita kichaa mkuumNimecheka mpaka watu wananishangaa
Daah kweli me vitu kama hivyo ndivyo vinavyotufanya,tunachafuka na hasira za karibuWafupi tufanyeje ili kurekebisha hili tatizo, inafikia wakati watoto wa miaka sita mnakuwa na kimo sawa, kukusalimia hadi afikirie, daaah
Hahah Haiwezi kua kweliAnaglia wasije wakakuita kichaa mkuum
Wafupi ni wajinga sana halafu mna roho mbayaNaitwa Castr Magige ni mwakilishi wa SPU (Short People United) kanda ya Kusini, nataka niseme kwamba, uchunguzi wa miaka 7 umegundua kwamba watu warefu wengi wana vibamia na ni mashoga. Case study Kaoge na Otile Brown.
Lakini pia wajinga wengi ni warefu. Tanzania One wote hakuna alitezidi urefu wa Futi 5.7.
Kingine, utafiti wa 1987 jijini MuΓ±chen uligundua kua watu warefu hutangulia kufa kwa miaka mitano zaidi ya wafupi, ila hali hua mbaya zaidi kwa mrefu halafu upande dominant kwake ni kushoto. Huyu huishi pungufu ya miaka 6.
Ila pia watu warefu wengi huongoza kwa kulelewa na wanawake mfano Calisa na Shamte anayemmega mama Diamond.
Na pia demand ya wanaume wafupi ni ya juu mno. Mfano kuanzia mwaka 2011 mpaka 2016xhamster, xnxx na world porn wametoa takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake wengi walisearch video za andunje mara 10,000 zaidi ya video za porn star warefu wote kwa ujumla wao.
Natanguliza shukrani.
Nipo hapa kwa maswali zaidi.
Wewe ni mfupi au mrefu halafu pia wewe ni me au keBila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Leo nimeona tuje tujadili changamoto na sifa za watu warefu hasa wanaume na wanaume wafupi
Hizi ni baadhi ya sifa za watu warefu
Kwanza wengi wako na mvuto attractive
Wako na uwezo wa kuelewa haraka
Nguo zimetengenezwa kwa ajili ya watu warefu na watoto
Hizi ni baadhi ya sifa za watu wafupi
Kwanza kabisa hawa watu wafupi wana asili ya ubishi na wengi wao wakorofi
Pia ni wahudhuriaji wazuri wa maduka ya nguo za watoto
Wagumu kuelewa ila wakijua wamejua ni ngumu sana kusahau
Inasadikika wako na mapenzi ya dhati kuliko watu warefu
Taja sifa na changamoto unazopata kama mtu mrefu au mfupi
[emoji41][emoji41][emoji41]Mm ni mrefu na napenga ugomvi kuliko kula
DπππWatu wafupi wanahasira sana kwakua moyo wao upo karibu na mfuko wa mavi so muda wote unachemka tu!
Dah mkuu Asprin hebu kuwa siriaz bn nimecheka htr,watu wafupi watakuvaa mzee baba.Ila msiwe mnavaa nguo nyekundu maana tunashindwa kuwatofautisha na mtungi wa Oryx gas au fire extinguisher...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ufupi raha sana yani ata kudondosha smartphone haivunjiki...
Tabu inakuja pale kwa ntu nrefu anapo ambiwa na ntu nfupi kua nywele zake zinanukia vizuri...ntu nrefu anashindwa kuelewa ni nywele gani izo?...
Mkuu wewe umepewa sekta gani muhimu?Wafupi ni wajinga sana halafu mna roho mbaya
hata katika sekta muhimu wengi hampewi kipaumbele kwa upimbi wenu (udereva,upolisi,uanajeshi nk)
Watu wafupi huanza kujiwenga kwanza wao halafu wengi hawafurahii muonekano wao wa nje utakuta kavaa mibuti mikubwa ili tu imbust asidharaulike na mbele ya watu