Watu warefu vs watu wafupi

Watu warefu vs watu wafupi

Wafupi tufanyeje ili kurekebisha hili tatizo, inafikia wakati watoto wa miaka sita mnakuwa na kimo sawa, kukusalimia hadi afikirie, daaah
 
Wafupi tufanyeje ili kurekebisha hili tatizo, inafikia wakati watoto wa miaka sita mnakuwa na kimo sawa, kukusalimia hadi afikirie, daaah
Daah kweli me vitu kama hivyo ndivyo vinavyotufanya,tunachafuka na hasira za karibu
 
Naitwa Castr Magige ni mwakilishi wa SPU (Short People United) kanda ya Kusini, nataka niseme kwamba, uchunguzi wa miaka 7 umegundua kwamba watu warefu wengi wana vibamia na ni mashoga. Case study Kaoge na Otile Brown.

Lakini pia wajinga wengi ni warefu. Tanzania One wote hakuna alitezidi urefu wa Futi 5.7.

Kingine, utafiti wa 1987 jijini Muñchen uligundua kua watu warefu hutangulia kufa kwa miaka mitano zaidi ya wafupi, ila hali hua mbaya zaidi kwa mrefu halafu upande dominant kwake ni kushoto. Huyu huishi pungufu ya miaka 6.

Ila pia watu warefu wengi huongoza kwa kulelewa na wanawake mfano Calisa na Shamte anayemmega mama Diamond.

Na pia demand ya wanaume wafupi ni ya juu mno. Mfano kuanzia mwaka 2011 mpaka 2016xhamster, xnxx na world porn wametoa takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake wengi walisearch video za andunje mara 10,000 zaidi ya video za porn star warefu wote kwa ujumla wao.

Natanguliza shukrani.

Nipo hapa kwa maswali zaidi.
Wafupi ni wajinga sana halafu mna roho mbaya

hata katika sekta muhimu wengi hampewi kipaumbele kwa upimbi wenu (udereva,upolisi,uanajeshi nk)

Watu wafupi huanza kujiwenga kwanza wao halafu wengi hawafurahii muonekano wao wa nje utakuta kavaa mibuti mikubwa ili tu imbust asidharaulike na mbele ya watu
 
Kwani ili uwe na sifa ya ufupi unatakiwa uwe na kimo cha futi ngapi?
 
Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Leo nimeona tuje tujadili changamoto na sifa za watu warefu hasa wanaume na wanaume wafupi

Hizi ni baadhi ya sifa za watu warefu

Kwanza wengi wako na mvuto attractive

Wako na uwezo wa kuelewa haraka

Nguo zimetengenezwa kwa ajili ya watu warefu na watoto

Hizi ni baadhi ya sifa za watu wafupi

Kwanza kabisa hawa watu wafupi wana asili ya ubishi na wengi wao wakorofi

Pia ni wahudhuriaji wazuri wa maduka ya nguo za watoto

Wagumu kuelewa ila wakijua wamejua ni ngumu sana kusahau

Inasadikika wako na mapenzi ya dhati kuliko watu warefu

Taja sifa na changamoto unazopata kama mtu mrefu au mfupi
Wewe ni mfupi au mrefu halafu pia wewe ni me au ke
 
Ila msiwe mnavaa nguo nyekundu maana tunashindwa kuwatofautisha na mtungi wa Oryx gas au fire extinguisher...
Dah mkuu Asprin hebu kuwa siriaz bn nimecheka htr,watu wafupi watakuvaa mzee baba.
 
Wafupi wa bishi sana ndo wanacho ni kela, alafu wana jifanya wajuaji kumbe hajui kitu
 
ufupi raha sana yani ata kudondosha smartphone haivunjiki...

Tabu inakuja pale kwa ntu nrefu anapo ambiwa na ntu nfupi kua nywele zake zinanukia vizuri...ntu nrefu anashindwa kuelewa ni nywele gani izo?...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu inabidi mtu mfupi anapoongea na mtu mrefu lazima aongee huku akiangalia juu maana akiangalia chini maneno hayawezi mfikia mtu mrefu yatasombwa na Upepo.
 
Wafupi ni wajinga sana halafu mna roho mbaya

hata katika sekta muhimu wengi hampewi kipaumbele kwa upimbi wenu (udereva,upolisi,uanajeshi nk)

Watu wafupi huanza kujiwenga kwanza wao halafu wengi hawafurahii muonekano wao wa nje utakuta kavaa mibuti mikubwa ili tu imbust asidharaulike na mbele ya watu
Mkuu wewe umepewa sekta gani muhimu?
 
Back
Top Bottom