Pre GE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wana hofu sana bila sababu.
Wanataka hii nchi ionekane kwamba haina Haki.
Nchi isionekane kwamba haina uongozi ambao unajili maslahi ya wananchi.
Watu wana hofu,for no reason.
Hujasoma Biblia Genesis 41:44?
Pharaoh anasema:"Tufanye hivi. On The Throne I will be The Leader. Wewe angalia kuhusu swala hili".
 
ulivyooandika kama sote tunamjua huyo soka!
 
wana hofu kwa sababu watu wanachukuliwa na watu wanaodai ni vyombo vya usalama halafu wakiwatafuta kwenye vyombo vya usalama vinakana kuwa havijawachukua. wengine hurudi wengine hawarudi na vyombo vya usalama kama havihusiki havichukui hatua kujua nini kilitokea.
 
Chawa mmeshindwa nguvu,tetesi za maandamano na potea potea zimezima kelele zenu!mnakuja kivingine japo too late!
 
Kama yana yotendeka na Tunajigamba usalama wa Taifa eti ni top ten hapa tumepigwa. kama ulishawai kupata mkasa wa story za maliyamungu basi unaweza kuthibitisha kuwa matendo yao ni sawa.

Kwa utawala wa idd amini kulikuwa na dalili hizi unazoziona ni kwamba kundi fulani la maliyamungu wakitelekeza yote kama unayo yaona hapa tanzania na hukuna idara yoyote itakayo muonesha kuwa umekosea.

Sio kwamba serikali ya ccm ijui bali kulinda mfumo wao mpaka sasa kutokana na wanaharakati au wajuaji wakutaka kujua hatma ya nchi wapunguzwe.

viva Tanzania
 
Eleza kwa uwazi amefanyaje mtu huyo
 
Zaka aliwaumbua

Ova
 
Don't be foolish, which order..there's no order to abduct innocent people..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…