saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
We kibwengo unajipangia km nani, jinga kweliYes ndio afuate utaratibu maana yeye mwenyewe anajichanganya utawala wa kurithi kuita awamu ya sita, wakati ni awamu ya tano, akichagulia ndio itakuwa awamu ya sita.
Ili akuuze mpaka wewe,maana atakuwa kashamaliza kuuza rasilimali za inchiMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
Afuate taratibu basi. Chenga nyingi ni za nini?Mama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
a female dictator!View attachment 3414438
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
View attachment 3414453
Una mavi kichwani mwako, nisije nikakujibu ukajinyea hadharani.Povu linakutoka utamzuia? Bwege tu
Mtu muongo na mlaghai ndie ana taka kuwa Rais.kwa clip za kuunga unga.View attachment 3414438
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
View attachment 3414453
Wala hakuna utata wowote; Dr. Samia anaongoza awamu ya 6; yuko sahihi kabisa. Why?Yaani hata sijui kama somo la uraia huko mashuleni lipo wanafunzi watafundishwaje maana wanasiasa wenyewe wanachanganya mambo. Raisi wa awamu ya sita kuongoza kwa miaka 4 na sijui hii anayogombea itaitwa ya ngapi sasa
Na kwa kua tunataka kuwape Zawadi KUBWA sio Utamaduni Wetu, elewa neno Zawadi KUBWA sio KUBWA zawadi, utofauti ni kwamba yeye anataka kua KUBWA ZawadiMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
Kwaiyo mkuu Samia ana awamu mbili? Yaani ya sita na hiyo ya saba inayofuata?Wala hakuna utata wowote; Dr. Samia anaongoza awamu ya 6; yuko sahihi kabisa. Why?
Iko hivi, katiba inasema endapo makamu wa rais atachukua uongozi wa nchi kwa masharti yaliyowekwa na katiba kwa muda unaopungua miaka mitatu itahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake na ataruhusiwa kugombea mihula miwili.
Lau endapo ataongoza kwa zaidi ya muda huo, itahesabiwa ni awamu kamili na ataruhusiwa kugombea kwa mhula mmoja.
Dr. Samia karithi miaka minne; Utata uko wapi hapo? misasa, Maharo, et. al.
Dr Samia yuko na awamu ya 6 mkuu. Miaka 4 aliyoongoza (zaidi ya miaka mitatu ya urithi kikatiba inageuka awamu kamili). Akichaguliwa tena means anamalizia awamu yake ya 6 ya vipindi viwili vya miaka 10 (even if itakuwa 9 yrs) kikatiba. The logic is straightforward bila utata wowote.Kwaiyo mkuu Samia ana awamu mbili? Yaani ya sita na hiyo ya saba inayofuata?
102 & 103 vifungu hivyoWala hakuna utata wowote; Dr. Samia anaongoza awamu ya 6; yuko sahihi kabisa. Why?
Iko hivi, katiba inasema endapo makamu wa rais atachukua uongozi wa nchi kwa masharti yaliyowekwa na katiba kwa muda unaopungua miaka mitatu itahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake na ataruhusiwa kugombea mihula miwili.
Lau endapo ataongoza kwa zaidi ya muda huo, itahesabiwa ni awamu kamili na ataruhusiwa kugombea kwa mhula mmoja.
Dr. Samia karithi miaka minne; Utata uko wapi hapo? misasa, Maharo, et. al.
Sheria hii ya Nchi gani?Dr Samia yuko na awamu ya 6 mkuu. Miaka 4 aliyoongoza (zaidi ya miaka mitatu ya urithi kikatiba inageuka awamu kamili). Akichaguliwa tena means anamalizia awamu yake ya 6 ya vipindi viwili vya miaka 10 (even if itakuwa 9 yrs) kikatiba. The logic is straightforward bila utata wowote.
Kuna muda Unaweza hisi watanzania baadhi Wana akili Kumbe ni wajinga sanaMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
Vichwa box ni vingi sana siku hizi mkuu usishangae sana lakini ndio matunda yao hayoKuna muda Unaweza hisi watanzania baadhi Wana akili Kumbe ni wajinga sana
Miaka 10 ya Urais wa mtu ni mingi sana
Yaan Anaanza Urais mtu yuko Kidato cha kwanza anamaliza chuo hadi anaanza kazi jamaa ndo anastaafu urais acheni mzaha
Britanicca
Kweli mkuu, kanisa livumilieMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
Kanisa linaingiaje hapo wewe kiazi mviringo unaliwa Chips?Kweli mkuu, kanisa livumilie
Hivi Kibajaji yupo wapi kuanzia baada ya mkutano Mkuu ule ??!!π πView attachment 3414438
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
View attachment 3414453