jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Hii biashara kuisha hapa duniani ni ngumu sanaserikali ikidhamiria kama ilivyo sasa ila wakiongeza mbinu naamini wafanya biashara wa dawa za kulevya wataisha.
mbinu za mapambano zinatakiwa zibadilike, maaana sio rahisi hivyo kumjua muuzaji/mfanyabiashara.
wapo tunaishi nao mitaani jambo la msingi ni kuwa fichua, toa taarifa hakika biashara hii itakwisha.
Kwa wana ndoa tu sio au!Ile sheria naona watu waipaganie, ya watu waliopo kule wawe wanakutana na wenza wao hata mala moja kwa miezi. Ni sehemu ya kipato kama serikali itabuni, kuna kuwa na vi lodge kule kama una manzi yako unalipia hata50,000 ili kukwichi kwicho nae.. ila ni lodge zinakuwa ndani ya ngome humo humo
Ila unaamini mtu anaweza kuwa kama Vunjabei na asiwwe anajihusisha na madawa?Mkuu,,usibishe kitu,,wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote..
Unajuwa kama kuna network ya madawa hong kong to China?
Wako watu ukiwakagua Tanzania hapa ni wasafi.
Hana doa lolote.
Lakini hong Kong -- China majina yao makubwa kwenye mambo hayo.
Usimdhamini muuuza kahawa atakuachia birika na sahani ya kashata uje ufungwe.
Wanachagua vitu virahisi kuzuga.Eti viduka uchwara! Sema nao wamezidi sana kukariri mambo, yaani kila muuza ngada utakuta anazugia kwenye kuuza nguo, simu au vigari kadhaa vya kuzugia, mbona huwa hawadeal maybe na viwanda vidogo vidogo au vitu vingine?
😂😂😂 kawa mmama kama vile anatunzwa sio 😂Nlikutana siku moja na mtoto wa lyumba yule
MO dah kawa mmama ilikuwa muhimbili kaja tibiwa tkapeana hi tu
Ila kawa mmama [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
You are right! Umepatia kabisa. Unajua hakuna kinachouma kama mtu unajikunjwa tangu asubuhi mpaka saa 3 usiku na hela huioni wakati kuna mtu amekaa tu na fedha zinaingia halafu wadada wazuri wazuri wanamkimbilia na wewe wanakudharauHuu uzi umewapa sana hasira wanaume.
Wametokwa na povu hatari.
Ila nimesikitika sana
Kuna watu wanapesa kuliko vunja bei na hawauzi madawa,, na wala hawahusushwi.Ila unaamini mtu anaweza kuwa kama Vunjabei na asiwwe anajihusisha na madawa?
Kuna mtu alipendekeza madawa ya kulevya yahalalishwe kama sigara. Ina maana yatapatikana kwa wingi na bei itapungua kabisa na watu wataona kufanya hiyo biashara hakulipi. Alisema kinachotakiwa ni kuweka mkazo kwenye elimu ili watu wasitumie.Hii biashara kuisha hapa duniani ni ngumu sana
Sema tu labda wafanyabiashara wafanye kwa kificho sana
Kitu hii duniani demand yake ni kubwa sana
Tatizo ndilo hilo
Ova
Yaan kwa vunja daa basi hata Frank knowsKuna watu wanapesa kuliko vunja bei na hawauzi madawa,, na wala hawahusushwi.
Lisemwalo lipo mkuu..
Wahenga hawakukosea kusema hayo.
Kwa mtu yeyeto tu, ila awe verified na aliepo ndani kwamba ni huyu, hata kama atabadirisha kila awamu apelekewe moto na mkurungwa mwingine 😀😀.. kwenye sex tusipangiane wa kupelekea motoKwa wana ndoa tu sio au!
Maana mafisaa wanaweza nogewa na biashara wakaweka tangazo pata ambayo haija pigwa miaka 7
si kwakua unanunuliwa iphone 12 hata huulizi inapotokea...njoo hapa unambie faida ya jinsi za elfu 10 10 hata kama una maduka 100 unawezaje front kila weekend unamwaga hennesy tu....kama upo karibu yake jiangalie,,,uzuri siku hizi magu hacheki na nyauHivi why mnahis vunja bei anauza unga? Hakuna namna yoyote mnayoona kijana kama yeye kumilik huo umate umate?
Hayo ni yakoHuyu labda mseme mchawi ila madawa haiwezekan jamaa kala vumbi sana k.koo
Afu biashara ya nguo china kwa large scale inalipa sana
Tatizo la wauza madawa ni tambo na kulazimisha kujulikana.Sio kuhisi
Huwez zungumziwa sana kiasi hiko na bado ikawa ni hisia.
Lisemwalo lipo ..ni muda tu.
Yeye Mwenyewe Anajiweka Katika Hali ya Kuchunguzwa. Maana Matajiri Tanznia Wapo wengi ila Hawafanyi Ujinga Wa Namna Hiyo.si kwakua unanunuliwa iphone 12 hata huulizi inapotokea...njoo hapa unambie faida ya jinsi za elfu 10 10 hata kama una maduka 100 unawezaje front kila weekend unamwaga hennesy tu....kama upo karibu yake jiangalie,,,uzuri siku hizi magu hacheki na nyau
Jeans elfu 19 anauza, hamna ya elfu 10....halafu anakuwa na stock kubwa ya size zote...ngumu sana uingie dukani kwake ukose kuchukua kitu sababu hujapata size yako...hii style kakopi kutoka india...huko vitu ndio bei rahisi hatarisi kwakua unanunuliwa iphone 12 hata huulizi inapotokea...njoo hapa unambie faida ya jinsi za elfu 10 10 hata kama una maduka 100 unawezaje front kila weekend unamwaga hennesy tu....kama upo karibu yake jiangalie,,,uzuri siku hizi magu hacheki na nyau
Halafu wakongwe wengi wa kariakoo sasa hivi mizigo wanapewa na wachina mali kauli,kwa mwamba kama vunja bei anavyojitangaza wala sishangai iwapo atateka soko la nguo mikoa yote ya TZ maana wachina si watu wa mchezo kwenye fursaHuyu labda mseme mchawi ila madawa haiwezekan jamaa kala vumbi sana k.koo
Afu biashara ya nguo china kwa large scale inalipa sana
Vp quality zake zikojeJeans elfu 19 anauza, hamna ya elfu 10....halafu anakuwa na stock kubwa ya size zote...ngumu sana uingie dukani kwake ukose kuchukua kitu sababu hujapata size yako...hii style kakopi kutoka india...huko vitu ndio bei rahisi hatari
Marketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiriYeye Mwenyewe Anajiweka Katika Hali ya Kuchunguzwa. Maana Matajiri Tanznia Wapo wengi ila Hawafanyi Ujinga Wa Namna Hiyo.
Hata Kama mtu una Maduka 7 ya Nguo..faida Utakayoipata Kwenye Hayo Maduka Huwezi Kufanya Starehe za Kijinga Jinga