jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Kamatwa na watu wote lakini usidakwe na unga au mirungi then ukapelekwa kituo cha msimbazi mzee.kuna madogo wamejaribu kuhonga mamilioni kisa mirungi tu lakini mama anakula ngum now wako segerea na syo hao tu wapo watu zaidi ya 5 wanasota rumande kisa mirungi tu na ndo kwao wanahela mbaya