Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Kwani hujui kusoma? soma kwanza ndio uanze kuuliza maswali yako ya kitoto. Mwandishi kaandika majina matatu,moja la kike na mwanamke mwenyew ndio huyo unayeulizia umbo lake. Muwe mnasoma kwanza kilichoandikwa badala ya kuwa na mihemuko na picha.
Aiseee Elimu Elimu Elimu.....Nani aliyekwambia huyo ndio huyo mwanamke aliyetajwa?? Huyo mwanamke ana ndevu? kwahiyo huyo Mwenye Pajama ya Blue ndio Allu au sio?
 
Huyu demu aliyekutwa na Side naye hizi mishe alikuwa anahusika au jumba bovu limemwangukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…