Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Vp kama wataamua kucheua mzigo kama 3b kwa DPP?
Thubutu ....basi wakina kiboko na madon wengine wangecheua
Hao madg inaelekea mzg syo wao wao ni supplier tu watu wa kati sasa sahv wawataje hao waliyowapa mzigo
Hao ndy bye bye watakaa ndani mpk watayazoea maisha ya huko maana huko ndk
Makaz yao mapya

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Aise acha wakanyee debe kwani unga unaharibu sana vijana na nguvu kazi ya taifa
 
Watateseka sana na ukute maisha ya shida hawajazoea kabsa
 
mrangi biashara ya unga huipendi kinom[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…