Watu watatu wafikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita

Habari hii haijakamilika.
 
"Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokua wakati wa tukio" Ina maana watuhumiwa wote sasa hvi ni 50+ years. Kwa miaka 20 Polisi bado walikua wanafanya uchunguzi?
 
Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Umesoma vizuri lakini au umekimbilia kucomment? Kwa mujibu wa taarifa watuhumiwa wakati wanatenda kosa Hilo walikuwa na umri huo, Ina maana kwa Sasa wote wako over 50++ years
 
Kuna watu wanashida sana kwenye usomaji, kuelewa habari,

Elimu Elimu Elimu
 
Umesoma vizuri lakini au umekimbilia kucomment? Kwa mujibu wa taarifa watuhumiwa wakati wanatenda kosa Hilo walikuwa na umri huo, Ina maana kwa Sasa wote wako over 50++ years
Ameedit, mwanzo hakuandika hivyo. Soma post #28 utaona jamaa alim quite kabla hajabadilisha
 
Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Soma taratibu ja uelewe. Usikurupuke. Metal mada Amesema na kunukuu umri wao wakati wa utekeleza wa mauji hayo
 
... umri wa aliyeuwawa ni irrelevant; umri muhimu ni wa muuwaji. OK?
Habari kabla haja edit ilionesha watuhumiwa walikua watoto mwaka 2002. Lazima kujua umri wa waliomuua kuonesha uhalisia
 
Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Kiswahili kigumu kueleweka bila shaka.

Soma tena andiko vizuri. nanukuu " Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30)''
 
Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay

Hata mimi imenishangaza watuhumiwa walikuwa watoto sana aisee.

Nami nimejiuliza hivyo..inamaana watuhumiwa ktk umri huo ndio wakifanya tukio kubwa namna hiyo..

Inapaswa shauri Lao lisikilizwe kwanza na mambo ya umri wao yataangaliwa kisheria kulingana na wakati wa tukio.

Kwahiyo hao watoto wa miaka 10, 12 na 14 waliweza kumuua mwanamke na kuutupa mwili kuficha ushahidi? Mnatuona sisi mazezeta sio?

Hapa tumedanganywa kwenye suala zima la umri. Bora hata ingekuwa 40 kasoro, au 40+
Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.

Mna haraka sana au hamjasoma mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…