Kirumberumbe
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 982
- 1,167
Achana na hao. Wameisoma habari haraka-haraka na kuanza mahesabu yao.Mbona kwenye habari wamesema kabisa umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio.................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hao. Wameisoma habari haraka-haraka na kuanza mahesabu yao.Mbona kwenye habari wamesema kabisa umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio.................
"Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni;". Kipi kimekushinda kuelewa hapo mheshimiwa?Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Kama mwalimu nakupa "Excellent" bro.Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Jitahidi kusoma between the line kiongozi wangu. Nadhani hakuna utata wa aina yoyote katika hili. Maana yake ni kwamba, chukua umri wa kila mtugumiwa kwa wakati huu, kisha jumlisha miaka 20 ili upate umri halisi wa sasa wa kila mtuhumiwa.
Soma uelewe maana yake ni kuwa now wana 54 52 and 50Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
hiyo habari imekuwa edited mkuu, pitia post baada ya post utaelewaAliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Jitahidi kusoma between the line kiongozi wangu. Nadhani hakuna utata wa aina yoyote katika hili. Maana yake ni kwamba, chukua umri wa kila mtugumiwa kwa wakati huu, kisha jumlisha miaka 20 ili upate umri halisi wa sasa wa kila mtuhumiwa.
Ungesoma vizuri kabla ya ku coment.Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Hii habari imekuwa mtoa mada atuombe radhi 🤣🤣🤣Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Jitahidi kusoma between the line kiongozi wangu. Nadhani hakuna utata wa aina yoyote katika hili. Maana yake ni kwamba, chukua umri wa kila mtugumiwa kwa wakati huu, kisha jumlisha miaka 20 ili upate umri halisi wa sasa wa kila mtuhumiwa.
Inaonekana hujasoma hiyo habari vzuriKosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Nafikiri uchunguzi ulifanyika ila watuhumiwa waliingia mitini"Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokua wakati wa tukio" Ina maana watuhumiwa wote sasa hvi ni 50+ years. Kwa miaka 20 Polisi bado walikua wanafanya uchunguzi?
Sawa. Kama imekuwa edited tatizo ni nini? Aliyeandika Si ni yy mwenyewe amesahihisha ili wasomaji waweze kuelewa vizuri? Kung'ang'ania na kushupalia ile yenye kosa la kiuandishi sio sawa. Tukubali kuwa flexible. Hata yule "Jamaa" alimwambia Jaji kwenye ile kesi maarufu kuwa kosa lile ni Curable.Nimekusoma mkuu. Kumbe mada alikuwa edited.
Kabisa yani 😂😂😂 na wanao comment saiv nao hawajielewi. Inawezekana vipi watu zaidi ya watatu wasomeHii habari imekuwa mtoa mada atuombe radhi 🤣🤣🤣 View attachment 2192856
Amerekebisha huyo mwanzo haukua hivyo. Inawezekanaje watu wa mwanzo wote comments ziwe za kushangaa umri.Wakuu hapa hamkusoma kwa makini: Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Yaani, kwasasa washtakiwa wana miaka 54, 52 na 50.
Ni vizuri kusema.... Maana watu wame-comment kulingana na habari ilivyokuja.Sawa. Kama imekuwa edited tatizo ni nini? Aliyeandika Si ni yy mwenyewe amesahihisha ili wasomaji waweze kuelewa vizuri? Kung'ang'ania na kushupalia ile yenye kosa la kiuandishi sio sawa. Tukubali kuwa flexible. Hata yule "Jamaa" alimwambia Jaji kwenye ile kesi maarufu kuwa kosa lile ni Curable.
Acha tu, nyie mmekuja kwa kuchelewa. Haikuandikwa hivyo mwanzoniWakuu hapa hamkusoma kwa makini: Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Yaani, kwasasa washtakiwa wana miaka 54, 52 na 50.
Yeah. Ila kwa sasa naona watu ni kama wametulia. 🙏Ni vizuri kusema.... Maana watu wame-comment kulingana na habari ilivyokuja.
Walikuwa wadogo Sana,waliwezaje kumuua??Watu watatu wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kuua mwanamke Mkoani Mtwara miaka 20 iliyopita.
Watuhumiwa hao ni wakazi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Nora Hamisi.
Nora aliyekuwa Mkazi wa Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, aliuawa na mwili wake kutupwa katika Mtaa wa Machinjioni katika Kata ya Mkuti.
Watuhumniwa hao walifikishwa kortini mwishoni mwa wiki mbele ya Hakimu wa Wilaya ya Masasi, Batista Kashusha na kusomewa mashtaka ya mauaji wanayodaiwa kuyafanya miaka 20 iliyopita.
Mwendesha Mashtaka wa Polisi Insepta Jovina alidai kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2002 mbele ya Mahakama hiyo.
Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao wa sasa kuwa ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Inspekta Jovina alidai kuwa watuhumiwa hao walimuua Nora kisha kuuchukua mwili wake na kuutupa katika Mtaa wa Machinjioni kisha kutoweka.
Alidai waliutupa mwili eneo hilo kwa lengo la kupoteza ushahidi, lakini baada ya uchunguzi wa Jeshi la Polisi walikamatwa. Watuhumiwa hawakutakiwa kuzungumza lolote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji.
Kwa mujibu wa sheria, Mahakama yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji ni Mahakama Kuu.
Wote walirejeshwa mahabusu na kesi hiyo itatajwa tena Aprili 24, 2022.
============
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara ni kuwa watuhumiwa hao wanatuhumiwa kutenda kosa hilo walipokuwa na umri mdogo na siyo kwamba ripoti ya umri wao imekosewa. Hivyo, umri uliotajwa mwenye habari yao ni umri walionao kwa sasa mwaka 2022.
Source: Nipashe
Safi sanaKuna mmoja aliua mkoani huko.
Miaka na miaka akaenda kujificha bagamoyo zinga.
Damu ya mtu nzito askari mpelelezi wa kesi Yake akahamishiwa bagamoyo .
Siku moja amekwenda kwa fundi viatu.
Anashangaa kuona ile sura mbona Kama anaijua anajiuliza alishawahi kumuona wapi.
Ahaa kesho yake akakumbuka.
mbona alikamatwa akapelekwa alipofanya tukio