Watu watatu wafikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita

Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
"Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni;". Kipi kimekushinda kuelewa hapo mheshimiwa?
 
Kama mwalimu nakupa "Excellent" bro.
 
hiyo habari imekuwa edited mkuu, pitia post baada ya post utaelewa
 
Reactions: y-n
Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Ungesoma vizuri kabla ya ku coment.
 
Hii habari imekuwa mtoa mada atuombe radhi 🀣🀣🀣
 
Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Inaonekana hujasoma hiyo habari vzuri

Mwandishi amesema "umri wao ulivyokuwa wakati wa mauaji yaani 2002"

Kwa hiyo jumlisha huo umri na miaka 22

Soma tena habari hiyo.
 
Wakuu hapa hamkusoma kwa makini: Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.

Yaani, kwasasa washtakiwa wana miaka 54, 52 na 50.
 
"Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokua wakati wa tukio" Ina maana watuhumiwa wote sasa hvi ni 50+ years. Kwa miaka 20 Polisi bado walikua wanafanya uchunguzi?
Nafikiri uchunguzi ulifanyika ila watuhumiwa waliingia mitini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtoa mada ulichowafanyia wenzio siyo kitu kizuri, wameanza kuchanganyana wenyewe kwa wenyewe maskiini wakati kosa siyo lao na ukajikausha zako..!
 
Nimekusoma mkuu. Kumbe mada alikuwa edited.
Sawa. Kama imekuwa edited tatizo ni nini? Aliyeandika Si ni yy mwenyewe amesahihisha ili wasomaji waweze kuelewa vizuri? Kung'ang'ania na kushupalia ile yenye kosa la kiuandishi sio sawa. Tukubali kuwa flexible. Hata yule "Jamaa" alimwambia Jaji kwenye ile kesi maarufu kuwa kosa lile ni Curable.
 
Hii habari imekuwa mtoa mada atuombe radhi 🀣🀣🀣 View attachment 2192856
Kabisa yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wanao comment saiv nao hawajielewi. Inawezekana vipi watu zaidi ya watatu wasome
Amerekebisha huyo mwanzo haukua hivyo. Inawezekanaje watu wa mwanzo wote comments ziwe za kushangaa umri.
 
Ni vizuri kusema.... Maana watu wame-comment kulingana na habari ilivyokuja.
 
Acha tu, nyie mmekuja kwa kuchelewa. Haikuandikwa hivyo mwanzoni

 
Kuna mmoja aliua mkoani huko.
Miaka na miaka akaenda kujificha bagamoyo zinga.
Damu ya mtu nzito askari mpelelezi wa kesi Yake akahamishiwa bagamoyo .
Siku moja amekwenda kwa fundi viatu.
Anashangaa kuona ile sura mbona Kama anaijua anajiuliza alishawahi kumuona wapi.
Ahaa kesho yake akakumbuka.
mbona alikamatwa akapelekwa alipofanya tukio
 
Walikuwa wadogo Sana,waliwezaje kumuua??
 
Inawezekana coz hata mie nikiwa skul kuna dogo nadhani alikua na miaka 14 aliuwa na yy akajaribu kujiua ikashindikana, alienda kondem sijui siku hizi yupo gereza lipi.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…