Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

Watoto wanapaswa kuwa na utoto. Hilo linatarajiwa.

Unawezaje kushangaa kinyeo kunuka mafi?

Mimi nadhani kila mtu aishi vile iwezekanavyo.

Kulazimisha watoto wawe na utu uzima ni makosa.

Mtoto lazima awe mtoto, na mkubwa awe mkubwa.

Usilazimishe kuvaa chupi kichwani. Chupi ni kizibo cha mbunye.

TUMSIFU YESU KRISTO, MILELE AMINA.
kumbaf sana aise dah :pedroP:



 
Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto

Kuna (baadhi) ya watu wazima
wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao

Utasikia:👇

Yaani huyu utoto unamsumbua
Huyu ana utoto mwingi
Hajitambui
Na maneno mengine mengi sana

Lakini mara nyingi ni kulaumu tu bila kutoa suluhisho🙌

Kuna mtu fulani ni mtu mzima ambaye tulikuwa na jambo tunalifanya pamoja
Sasa kuna mambo yalitokea kutokana na namna ambavyo mimi nilivyoreact

Akaamua kuchukia na kususa

Baadaye mimi nikajishusha nikamtafuta, hasa baada ya kugundua kwamba nilikosea

Lakini nilipomtafuta, akaanza lawama
Ujue Shes una utoto sana
Pale ulifanya utoto

Sawa, inawezekana nilifanya utoto It’s okay

Lakini wewe ambaye ni mtu mzima, si ulitakiwa kuonesha ukomavu wako?

Si ulitakiwa kunishauri, kunielekeza na kunionesha nilipokosea badala ya kuishia kusema tu kwamba nina utoto?

Nilimuuliza swali moja:👇

Wewe kipindi ukiwa na umri kama wangu, ulikuwa na maarifa sawa na uliyonayo leo?
Ulikuwa na upeo wa mambo kwa kiasi ulicho nacho sasa?

Akasema hapana

Nikamuambia, kama wakati huo hukuwa na maarifa na upeo ulio nao leo, kwa nini sasa unawalaumu wengine ambao bado wako kwenye hatua ya kujifunza?(japo nahisi hakupenda haya maneno)

Na ujue kosa siyo kulaumu
Shida ni kulaumu bila hata kutoa suluhisho laumu ndiyo ukimaliza toa ushauri nini kifanyike

Nyie baadhi yenu watu wazima mliomo humu JF Forums ambao mna tabia ya kulalamikia vijana kwamba wana utoto nashauri msiishie kulalamika tu

Wapeni na elimu pia hao vijana
Waambieni wamekosea wapi
Waonesheni walitakiwa kufanya nini
Washaurini namna ya kujirekebisha

Kwa sababu kuwa mtu mzima siyo kuwa na miaka mingi tu
Kuna pia suala la ukomavu wa kufikiri na namna unavyomsaidia mtu ambaye bado anajifunza

Ni namna gani ya kujituliza sehemu ya kujituliza
Kuongea sehemu ya kuongea
Kunyamaza sehemu ya kunyamaza

Na kama tayari umemshauri ukamuelekeza, ukamueleza kosa lake na akashindwa kubadilika hapo sasa labda siyo tena utoto ni jeuri na kiburi na tayari hapo umefanya wajibu wako badala ya kulalama tu

Sasa wewe mtu mzima ambaye unajiona una maarifa makubwa
Baada ya kumaliza kulaumu na kulalama jiulize sasa

Huyo kijana unaedai ana utoto na ujinga umemsaidia kuelewa kosa lake au umeishia kumlaumu tu?

Swali la Mjadala

Je, ni sawa kwa watu wazima kuishia kuwalalamikia vijana kwamba wana utoto ujana bila kuwapa mwongozo ushauri au elimu ya kuwasaidia kukua na kuwa watu wenye maarifa zaidi? wenyewe wanaita Gnz

NB:Sisemi nawafundisha
Nauliza tu, kwa ajili ya mjadala 🙏

ShesRise_1 ✋️
ni vizuri kua na adabu na itapendeza zaidi.
mkubwa hakosei, sawa ndugu mdau?

waambie na wenzako 🐒
 
Umepigaje hapa 👇
Issue inakuja kama mtu mzima umeelekeza, umeshauri, umeonya , umeadhibu na kijana X bado anaendelea kufanya makosa tena kwa makusudi, hihihihhiih bagoshaaa hapo ndipo unaweza kusema tatizo si tena kutokujua bali ni kutokutaka kubadilika plus ujeuri wa kipumbavu 📌
imeisha hiyo
 
Kwani mi sina adabu
Kwanini hakosei yeye sio binadamu wa kawaida?
nikikukaribia vizuri naweza kujiridhisha na kujua ukweli ikiwa huna au una adabu.

hivyo ndivyo asili ilivyo,
kwamba mkubwa ni mkubwa tu na hajawahi kumkosea mdogo hata kama ikithibitika changamoto ni yeye 🐒
 
nikikukaribia vizuri naweza kujiridhisha na kujua ukweli ikiwa huna au una adabu.
Sawa nikaribie ili ujue kama adabu ninayo au sina
hivyo ndivyo asili ilivyo,
kwamba mkubwa ni mkubwa tu na hajawahi kumkosea mdogo hata kama ikithibitika changamoto ni yeye 🐒
Hapa unapindisha maneno kama unafanya siasa
Mkubwa anakosea na sio kukosea tu
Hata wapumbavu nao huzeeka
 
Tulia dogo sasa kama hujakua usiambiwe 😅
Nashukuru sku hz nimekua

Nikiwa form five niliwahi rushiana matusi na mama mmoja wa kirangi aliyekuja kwa kingasti wake

Nakumbuka ilikuwa majira ya saa tano asubuhi saa hz natokea bafuni kuoga aka apologize yaishe zilikuwa pombe, aliamka na hangover plus akazimua tena na hapo yupo kwa mchepuko wake tuu, Ila ana familia yake kabisa mume na watoto

Toka siku hiyo alishika adhabu km alivyo toka kwenye ndoa
 
Nashukuru sku hz nimekua

Nikiwa form five niliwahi rushiana matusi na mama mmoja wa kirangi aliyekuja kwa kingasti wake

Nakumbuka ilikuwa majira ya saa tano asubuhi saa hz natokea bafuni kuoga aka apologize yaishe zilikuwa pombe, aliamka na hangover plus akazimua tena na hapo yupo kwa mchepuko wake tuu, Ila ana familia yake kabisa mume na watoto

Toka siku hiyo alishika adhabu km alivyo toka kwenye ndoa
Eeeh 😲 una hatari kijana
 
Hahahaha nilikuwa wa moto nshapiga mpk mke wa mtu kuniita mse*** na mwishoni nikamwambia umaly wako kafanyie kwenu shwain yeye na mamake wakaanza kulia
Wewe😲 si una niambiaga nije jumuiya 😅
Kumbe umewahi kumtwanga mke wa mtu uwiii mwenye mke wake hakujua?
 
Back
Top Bottom