Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

Wewe😲 si una niambiaga nije jumuiya 😅
Kumbe umewahi kumtwanga mke wa mtu uwiii mwenye mke wake hakujua?
Alijua na hakusema kitu maake mkewe ana kiherehere mno

Karibu aseeh hata ukizungumza na mm utaamini ni ba mchungaji au baba padri 😂
 
Madogo huwa hawaelewi, ukiwaelekeza wanaona unawachora tu.

Ila pia tatizo jingine ni machalii kufata mkumbo. Mfano makazini wengi sio maamuzi yao ila ni ile mikumbo hata ukimuelekeza atakuona jau, yakimtokea atarudi kusema ulisema.

Tatizo jingine lipo kwa hao watu wazima wanaosema "una utoto" baadhi yao huwa hawamaanishi, wana wivu na misimamo yako, ni waoga wa kuchallenge mamlaka nk
Hivyo wewe kua na msimamo wa kitu ambacho kwao ilikua ni mazoea wanaterm as utoto, ila sio kila utoto ni utoto.
 
Mueleze tu akikaidi ni juu yake
Tatizo jingine lipo kwa hao watu wazima wanaosema "una utoto" baadhi yao huwa hawamaanishi, wana wivu na misimamo yako, ni waoga wa kuchallenge mamlaka nk
Hivyo wewe kua na msimamo wa kitu ambacho kwao ilikua ni mazoea wanaterm as utoto, ila sio kila utoto ni utoto.

Hakika baadhi ya watu wazima wanaogopa challenge wakikosolewa huchukulia kama wame dhalilishwa

Kumbe sivyo kua mtu mzima haimaanishi unajua kila kitu
 
Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto

Kuna (baadhi) ya watu wazima
wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao

Utasikia:👇

Yaani huyu utoto unamsumbua
Huyu ana utoto mwingi
Hajitambui
Na maneno mengine mengi sana

Lakini mara nyingi ni kulaumu tu bila kutoa suluhisho🙌

Kuna mtu fulani ni mtu mzima ambaye tulikuwa na jambo tunalifanya pamoja
Sasa kuna mambo yalitokea kutokana na namna ambavyo mimi nilivyoreact

Akaamua kuchukia na kususa

Baadaye mimi nikajishusha nikamtafuta, hasa baada ya kugundua kwamba nilikosea

Lakini nilipomtafuta, akaanza lawama
Ujue Shes una utoto sana
Pale ulifanya utoto

Sawa, inawezekana nilifanya utoto It’s okay

Lakini wewe ambaye ni mtu mzima, si ulitakiwa kuonesha ukomavu wako?

Si ulitakiwa kunishauri, kunielekeza na kunionesha nilipokosea badala ya kuishia kusema tu kwamba nina utoto?

Nilimuuliza swali moja:👇

Wewe kipindi ukiwa na umri kama wangu, ulikuwa na maarifa sawa na uliyonayo leo?
Ulikuwa na upeo wa mambo kwa kiasi ulicho nacho sasa?

Akasema hapana

Nikamuambia, kama wakati huo hukuwa na maarifa na upeo ulio nao leo, kwa nini sasa unawalaumu wengine ambao bado wako kwenye hatua ya kujifunza?(japo nahisi hakupenda haya maneno)

Na ujue kosa siyo kulaumu
Shida ni kulaumu bila hata kutoa suluhisho laumu ndiyo ukimaliza toa ushauri nini kifanyike

Nyie baadhi yenu watu wazima mliomo humu JF Forums ambao mna tabia ya kulalamikia vijana kwamba wana utoto nashauri msiishie kulalamika tu

Wapeni na elimu pia hao vijana
Waambieni wamekosea wapi
Waonesheni walitakiwa kufanya nini
Washaurini namna ya kujirekebisha

Kwa sababu kuwa mtu mzima siyo kuwa na miaka mingi tu
Kuna pia suala la ukomavu wa kufikiri na namna unavyomsaidia mtu ambaye bado anajifunza

Ni namna gani ya kujituliza sehemu ya kujituliza
Kuongea sehemu ya kuongea
Kunyamaza sehemu ya kunyamaza

Na kama tayari umemshauri ukamuelekeza, ukamueleza kosa lake na akashindwa kubadilika hapo sasa labda siyo tena utoto ni jeuri na kiburi na tayari hapo umefanya wajibu wako badala ya kulalama tu

Sasa wewe mtu mzima ambaye unajiona una maarifa makubwa
Baada ya kumaliza kulaumu na kulalama jiulize sasa

Huyo kijana unaedai ana utoto na ujinga umemsaidia kuelewa kosa lake au umeishia kumlaumu tu?

Swali la Mjadala

Je, ni sawa kwa watu wazima kuishia kuwalalamikia vijana kwamba wana utoto ujana bila kuwapa mwongozo ushauri au elimu ya kuwasaidia kukua na kuwa watu wenye maarifa zaidi? wenyewe wanaita Gnz

NB:Sisemi nawafundisha
Nauliza tu, kwa ajili ya mjadala 🙏

ShesRise_1 ✋️
Kusema jambo baya au lisilofaa ni utoto, ni kuwanyanyapaa isivyo sawa watoto.

Kwa sababu watoto wanafanya mambo mengi mazuri ambayo wakubwa hawafanyi.

Na mambo mabaya mengi, watoto wanajifunza kwa wakubwa.

Kwa hivyo, kabla hatujafika mbali, kuliita jambo baya "utoto" tu ni tatizo.
 
Chai
 
I'm proud of you my brother

Naunga mkono : Mambo mabaya mengi watoto hujifunza kwa wakubwa 👍
 
Back
Top Bottom