kumbaf sana aise dahWatoto wanapaswa kuwa na utoto. Hilo linatarajiwa.
Unawezaje kushangaa kinyeo kunuka mafi?
Mimi nadhani kila mtu aishi vile iwezekanavyo.
Kulazimisha watoto wawe na utu uzima ni makosa.
Mtoto lazima awe mtoto, na mkubwa awe mkubwa.
Usilazimishe kuvaa chupi kichwani. Chupi ni kizibo cha mbunye.
TUMSIFU YESU KRISTO, MILELE AMINA.
ni vizuri kua na adabu na itapendeza zaidi.Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto
Kuna (baadhi) ya watu wazima
wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao
Utasikia:π
Yaani huyu utoto unamsumbua
Huyu ana utoto mwingi
Hajitambui
Na maneno mengine mengi sana
Lakini mara nyingi ni kulaumu tu bila kutoa suluhishoπ
Kuna mtu fulani ni mtu mzima ambaye tulikuwa na jambo tunalifanya pamoja
Sasa kuna mambo yalitokea kutokana na namna ambavyo mimi nilivyoreact
Akaamua kuchukia na kususa
Baadaye mimi nikajishusha nikamtafuta, hasa baada ya kugundua kwamba nilikosea
Lakini nilipomtafuta, akaanza lawama
Ujue Shes una utoto sana
Pale ulifanya utoto
Sawa, inawezekana nilifanya utoto Itβs okay
Lakini wewe ambaye ni mtu mzima, si ulitakiwa kuonesha ukomavu wako?
Si ulitakiwa kunishauri, kunielekeza na kunionesha nilipokosea badala ya kuishia kusema tu kwamba nina utoto?
Nilimuuliza swali moja:π
Wewe kipindi ukiwa na umri kama wangu, ulikuwa na maarifa sawa na uliyonayo leo?
Ulikuwa na upeo wa mambo kwa kiasi ulicho nacho sasa?
Akasema hapana
Nikamuambia, kama wakati huo hukuwa na maarifa na upeo ulio nao leo, kwa nini sasa unawalaumu wengine ambao bado wako kwenye hatua ya kujifunza?(japo nahisi hakupenda haya maneno)
Na ujue kosa siyo kulaumu
Shida ni kulaumu bila hata kutoa suluhisho laumu ndiyo ukimaliza toa ushauri nini kifanyike
Nyie baadhi yenu watu wazima mliomo humu JF Forums ambao mna tabia ya kulalamikia vijana kwamba wana utoto nashauri msiishie kulalamika tu
Wapeni na elimu pia hao vijana
Waambieni wamekosea wapi
Waonesheni walitakiwa kufanya nini
Washaurini namna ya kujirekebisha
Kwa sababu kuwa mtu mzima siyo kuwa na miaka mingi tu
Kuna pia suala la ukomavu wa kufikiri na namna unavyomsaidia mtu ambaye bado anajifunza
Ni namna gani ya kujituliza sehemu ya kujituliza
Kuongea sehemu ya kuongea
Kunyamaza sehemu ya kunyamaza
Na kama tayari umemshauri ukamuelekeza, ukamueleza kosa lake na akashindwa kubadilika hapo sasa labda siyo tena utoto ni jeuri na kiburi na tayari hapo umefanya wajibu wako badala ya kulalama tu
Sasa wewe mtu mzima ambaye unajiona una maarifa makubwa
Baada ya kumaliza kulaumu na kulalama jiulize sasa
Huyo kijana unaedai ana utoto na ujinga umemsaidia kuelewa kosa lake au umeishia kumlaumu tu?
Swali la Mjadala
Je, ni sawa kwa watu wazima kuishia kuwalalamikia vijana kwamba wana utoto ujana bila kuwapa mwongozo ushauri au elimu ya kuwasaidia kukua na kuwa watu wenye maarifa zaidi? wenyewe wanaita Gnz
NB:Sisemi nawafundisha
Nauliza tu, kwa ajili ya mjadala π
ShesRise_1 βοΈ
Kwani mi sina adabuni vizuri kua na adabu na itapendeza zaidi.
Kwanini hakosei yeye sio binadamu wa kawaida?mkubwa hakosei, sawa ndugu mdau?π
Ndiyo hata mimi nataka mtoto mwenzangu kama wewe watu wazima gubu π€£π€£Achana na watu wazima bana....π€ mie bado nina utoto kama wewe.....π na nimesha kucheck PM....π
imeisha hiyoUmepigaje hapa π
Issue inakuja kama mtu mzima umeelekeza, umeshauri, umeonya , umeadhibu na kijana X bado anaendelea kufanya makosa tena kwa makusudi, hihihihhiih bagoshaaa hapo ndipo unaweza kusema tatizo si tena kutokujua bali ni kutokutaka kubadilika plus ujeuri wa kipumbavu π
π ββοΈπ ββοΈimeisha hiyo
nikikukaribia vizuri naweza kujiridhisha na kujua ukweli ikiwa huna au una adabu.Kwani mi sina adabu
Kwanini hakosei yeye sio binadamu wa kawaida?
Sawa nikaribie ili ujue kama adabu ninayo au sinanikikukaribia vizuri naweza kujiridhisha na kujua ukweli ikiwa huna au una adabu.
Hapa unapindisha maneno kama unafanya siasahivyo ndivyo asili ilivyo,
kwamba mkubwa ni mkubwa tu na hajawahi kumkosea mdogo hata kama ikithibitika changamoto ni yeye π
Lakini ni ukweli,π€pole pia kwa masaibu mkuu lakininikikukaribia vizuri naweza kujiridhisha na kujua ukweli ikiwa huna au una adabu.
hivyo ndivyo asili ilivyo,
kwamba mkubwa ni mkubwa tu na hajawahi kumkosea mdogo hata kama ikithibitika changamoto ni yeye π
πͺLakini ni ukweli,π€pole pia kwa masaibu mkuu lakini
Unasema utoto wako ataupima kwa thermometer au rula ?Mtu siwezi shindana nae ni wazazi na boss wangu the rest km ulivyo kuja
Utoto ataupima kwa thermometer au rula ili tuwe sawa
Mbamizwa katumeni BICHWA KOMWE
Aaaah me sichokozag mtu Ila sasa mtu anakwambia utoto niambie hapo unekosea utasikia bdo hujakuaUnasema utoto wako ataupima kwa thermometer au rula ?
kijana huna adabu π€£
Tulia dogo sasa kama hujakua usiambiwe πAaaah me sichokozag mtu Ila sasa mtu anakwambia utoto niambie hapo unekosea utasikia bdo hujakua
π
Nashukuru sku hz nimekuaTulia dogo sasa kama hujakua usiambiwe π
Eeeh π² una hatari kijanaNashukuru sku hz nimekua
Nikiwa form five niliwahi rushiana matusi na mama mmoja wa kirangi aliyekuja kwa kingasti wake
Nakumbuka ilikuwa majira ya saa tano asubuhi saa hz natokea bafuni kuoga aka apologize yaishe zilikuwa pombe, aliamka na hangover plus akazimua tena na hapo yupo kwa mchepuko wake tuu, Ila ana familia yake kabisa mume na watoto
Toka siku hiyo alishika adhabu km alivyo toka kwenye ndoa
Hahahaha nilikuwa wa moto nshapiga mpk mke wa mtu kuniita mse*** na mwishoni nikamwambia umaly wako kafanyie kwenu shwain yeye na mamake wakaanza kuliaEeeh π² una hatari kijana
Weweπ² si una niambiaga nije jumuiya πHahahaha nilikuwa wa moto nshapiga mpk mke wa mtu kuniita mse*** na mwishoni nikamwambia umaly wako kafanyie kwenu shwain yeye na mamake wakaanza kulia