Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Dar is dream city is like USA binafsi unabidi kufika DSM .

Jambo ninalolipenda DSM ni ule mnyonyororo wa thamani .

Mfano Kuku akichinjwa

-watauza nyama peke yake
-watauza miguu peke yake
-watauza utumbo peke yake
-watauza kichwa peke yake.

Ukitengeneza mnyororo wa thamani unakuwa umeongeza fursa za Kazi na kipato.

So DMS ni dream city.
 
Hapo kwenye utumbo ndo shida mikoani hatuli makorokocho hayo
 
Well, kama mtu anaona kuzaliwa dar ni jambo la maana sana katika maisha yake mwache atambe.

La kukumbuka tu ni kwamba hakuna yoyote aliyekuwa na choice ya mahali au muda aliozaliwa.

Maana kuna wengine wanatambia hata miaka ya kuzaliwa achlilia mbali sehemu walizozaliwa.
 
Born Town
DAR-ES-SALAAM.
 
Kuzaliwa Mburahati, Mbagala, Tandale kwa mfuga mbwa, Buza, Gongo la Mboto n.k iwe ni jambo la kujivuna kuliko kuzaliwa Ilemela, Njiro au Iringa mjini??
Usifananishe maeneo ya Dar na vitu vya ajabu mazeee..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…