SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Mjinga ni wewe huna akili wala hujitambui mshamba tuAngalia mjinga huyu, kwa hiyo wizi ndo ujanja?
Kwenye nchi za Kistaarabu hizo zinaitwa Antisocial Behaviour ambazo ni makosa kisheria.
Na watu wengi wa dar wanaojiita wanjanja ni kwa sababu siyo wastaarabu na tabia chafu ndo ujanja kwao.
Poleni sana, kwa sababu dunia haipo huko kwa sasa
Bora mimi nisiye na akili kuliko wewe mpumbavu unayeona tabia chafu za wizi na uhuni eti ndo ujanja na unajisifia kwa huo upuuzi. Huo upambavu ndo umekuwa unajisifia kwa kuzaliwa dar wakati dar yenyewe unaishi kivule.Mjinga ni wewe huna akili wala hunitambui mshamba tu
Kumbe all this time unahisi mimi wa Mburahati?? Mimi nimezaliwa Oysterbay kwenye nyumba ya Serikali, then tukahamia Mbezi Beach kwenye nyumba ya wazazi wangu, then tukahamia Bunju…Again umezidi kuthibitisha ujinga na uduni wa kifikra mliona nyie matoto ya dar.
Muziki wa singeli mara nyingi unakuwaga na maudhui ya kipumbavu sana, sasa kama na wewe eti enjoy maudhui hayo ya kipumbavu so ni obvious umjeza upumbavu mwingi sana kichwani mwako.
Na siku zote watoto hufuata kile ambacho wewe mzazi unakifanya, kama ni mpenda singeli ni obvious hata mwanao atakuwa ni mpenda singeli kama wewe na hapo ndipo atakapomfanya huyo muimba singeli kuwa role model wake, umeelewa sasa bogasi wewe?
Kuendelea kujivunia kuzaliwa dar halafu hapo hapo kuna wakuja kibao tu wanakuzidi maendeleo tena mbali mno hiyo ni level ya juu kabisa ya uwendowazimu, wajinga sana nyie mnajiita watoto wa mjini na wakati huo karibu majengo yote ya maana yanamilikiwa na wakuja nyie mmebaki kukariri majina ya hayo magorofa tu, na wewe mwenyewe siku ukiondoka nyumbani kwenu huko Mburahati na kuamua kwenda kupanga kigamboni, nyumba unayofikia most likely itakuwa inamililkiwa na wakuja, Halafu bado una guts za kusema eti "mimi nimezaliwa dar uniambii kitu"? wapuuzi nyie.
Mimi sio chawa wa Abuu yeye ni mwanangu tu ambaye tulikutana nae boarding school, na moja ya fantasy alizokuwa nazo ilikuwa ni kulala na hao akina Iren Uwoya na alipoanza kushika hela tu hakutaka kulaza damu, japo anatumia pesa nyingi sana. Lakin, ni zake na pia hii haina uhusiano na kukamilika au kutokamilika kwa mwanaume.
Kumbuka hata nyie wazaliwa wa dar huwa mna sexual fantasies zenu na ndio maana tunaona mnakoboana sana nyie wanawake wakati huo kaka zenu wana geuzana sana na mnaona fashion.
Kwa ufupi tu nyie wazaliwa wa Dar wengi ni wajinga na hilo halipingiki.
Wazaliwa dar mnamiliki nini hapo zaidi ya kukariri majina ya majengo yanayomilikiwa na wageni wajinga nyie?Kumbe all this time unahisi mimi wa Mburahati?? Mimi nimezaliwa Oysterbay kwenye nyumba ya Serikali, then tukahamia Mbezi Beach kwenye nyumba ya wazazi wangu, then tukahamia Bunju…
Turudi kwenye povu lako(hlf acha matusi bwana, haipendezi)
1. Kama unachosikia kwenye muziki kina-influence maisha yako basi una safari ndefu sana ndugu wa mkoani.
2. Kuniita bogasi hapa JF hakubadili reality. Save yourself the hustle ndugu wa mkoani.
3. Sasa, wakuja kama mna maendeleo saaana why suala la mtu wa Dar kuwa proud likupeleke puta sana?? Why yaani🤣🤣🤣. Kweli mtu na maendeleo yako why upelekeshwe na wasio na lolote wakijitapa?
4. Mimi sio wa Mburahati bro🤣🤣, nimezaliwa Oysterbay nyumba ya Serikali - sasa hivi naishi somewhere bahari naiona ileeee. Halafu hizo statistics kuwa mnamiliki majengo yote mmezitoa wapi ndugu wa mkoani??
5. Tafuta statistics mkoa gani unaongoza kwa Ushoga Tanzania. Nakuhakikishia sio Dar es Salaam. Hivyo hiyo meza unayotingisha ina wakuja wenzio juu utawaangusha.
Sasa mbona wakiongea wanaongea pumba?!!Nilimsikia Mwenezi wa chama tawala anajisifia kuzaliwa Osheni rodi nilicheka sana.
Sasa tangu lina mzaliwa wa dar akaongea kitu cha maana? ZurieSasa mbona wakiongea wanaongea pumba?!!
Ndoto kubwa ya watu wa Mikoani ni kufika Dar es Salaam.😁Kuzaliwa sehemu ambayo wengine wana ndoto za kufika sio jambo la kawaida....acha watu watambe
Wengi wanaishi kwenye nyumba za urithi....midomo michafuuu,kazi kusimuliana ma dj wahengqNdio uhalisia huo waache wakafanye utalii wa kuona flyover na mabasi ya mwendokasi ambayo kupanda mpaka upigwe ngumi ya shingo
🤣🤣🤣nimependa vingwenduPole ya nini wakati ni wajinga?Vingwendu.
Tokea day 1 hospital ni vita tu hadi kufa. Dar shikamoo.Unatuonea wivu we wa kuja. Kuzaliwa dar si mchezo aisee.
Kujenga ni vipaumbele vya mtu😁, kuna raia wamezaliwa Dar wanaishi kwenye Apartments Kariakoo, Upanga na Posta ila hawana kipaumbele cha kujenga japo wanatengeneza hela ambazo wakitaka kujenga ni mwezi mmoja tu nyumba nzuri kuzidi ya kwako uliojenga kwa miaka 5 inakuwa katika hatua za finishing na mwishoni mwa mwezi wa pili toka ujenzi uanze anaweza kuhamia.Mimi sijazaliwa Dar
Ila aliyezaliwa Dar kuna namna ana ujanja tofauti,yaani ni Elimu tosha kuzaliwa Dar,kuhusu kujenga hizo ni akili binafsi
Na wewe acha uongo si ulisema umezaliwa chuga?leo unawasagia kunguni wa mkoa wenzio🤣🤣Ni kweli asilimua kubwa wanakuwaga washamba sana sasa msisemwe unakuja dar umetoka mkoani na malboro unashangaa ubungo zamani ile kwa sasa stendi ya magu upo tu halafu unaibiwa kila kitu halafu unakuwa omba omba hadi upate pesa ya kujikimu ndio umtafute uliyemjia hapo umepauka
Umenikumbusha mshkaji wangu mmoja kajenga nyumba kali sana goba ila anakaa zae sea view kasema hawezi ishi huko ni mbwinde😂Kujenga ni vipaumbele vya mtu😁, kuna raia wamezaliwa Dar wanaishi kwenye Apartments Kariakoo, Upanga na Posta ila hawana kipaumbele cha kujenga japo wanatengeneza hela ambazo wakitaka kujenga ni mwezi mmoja tu nyumba nzuri kuzidi ya kwako uliojenga kwa miaka 5 inakuwa katika hatua za finishing na mwishoni mwa mwezi wa pili toka ujenzi uanze anaweza kuhamia.
Eeh hio ndio Dar es Salaam. Watu wana mipango ya masaa ya mbele sema ukiwa na akili butu unaweza kuona kila mtu anateseka mjini😁.Umenikumbusha mshkaji wangu mmoja kajenga nyumba kali sana goba ila anakaa zae sea view kasema hawezi ishi huko ni mbwinde😂
Hawajui code za mjini kila wakijaribu wanakula za uso then wanakimbia mji.😅Eeh hio ndio Dar es Salaam. Watu wana mipango ya masaa ya mbele sema ukiwa na akili butu unaweza kuona kila mtu anateseka mjini😁.
Yani mifumo ya maisha ni mingi sana hapa mjini. Wa mikoani hawaelewi kila kitu ndio maana wanaona giza tu.
Wanapoteana wanaenda kueneza shit tu.Hawajui code za mjini kila wakijaribu wanakula za uso then wanakimbia mji.😅