Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Wakenya waliozaliwa Nairobi huwa hawana huo muda mchafu na tambo za hovyo za Kiswahili.
Sisi watanzania tuna ubaguzi sana kuanzia wa kikabila, kidini hadi wa kikanda japokuwa ubaguzi wetu hatuuoneshi wazi wazi.

Halafu wazungu wakitubagua tunapiga kelele lakini bado sisi tunabaguana.
 
Mtoto wa Rock City.

Rock city ni kama Dar tu sema watu wa Rock City hawako proud na mji wao.

I love Rock City.

Rock City is just another Dar Es Salaam.
MWANZA KIJIJI KILICHO CHANGAMKA KAMJI UKIFIKA USIKU UKIONA MILIMA INAWAKA TAA USIKU UTASEMA TORONTO SUBIRI KUKUCHE UNAWEZA KUSEMA MABANDA YA NJIWA YA MISRI
 
Mnavyowapokeaga akina Mondi huko "Ikizu" inatosha kuonyesha ubabe wa Dar.
 
Mtoto wa Rock City.

Rock city ni kama Dar tu sema watu wa Rock City hawako proud na mji wao.

I love Rock City.

Rock City is just another Dar Es Salaam.
Kisa yule Sato wa simenti?
 
Sisi wa Iringa "Comfort Video Coach" kwenye zile "cabin" za ndani kunakuwa kumejaa mikate...😆😅😀😃😃😄

Halafu mtu anataka aliyezaliwa Ocean Road Dar awe sawa na aliyezaliwa Mpitimbi😄😃😀
Hivi, kwani imekuwaje utaje Mpitimbi..!!??? Kwanini usitaje Kiponzero na basi lao la WASA au Mibiki mitali?
 
Halafu mkiwa mnabishana nao ukiwaliza basi sawa mmezaliwa dar,mna nin cha kunizidi mimi niliyezaliwa huko nguriati,utasikia wanajibu..ooh we dogo una dharau sana.
 
MWANZA KIJIJI KILICHO CHANGAMKA KAMJI UKIFIKA USIKU UKIONA MILIMA INAWAKA TAA USIKU UTASEMA TORONTO SUBIRI KUKUCHE UNAWEZA KUSEMA MABANDA YA NJIWA YA MISRI
Huu ni ukweli mtupu, Dar ni nzuri zaidi usiku, mchana inageuka kuwa mabanda ya kuku sehemu kubwa ya mji.
 
Gai gai gaiiii...!!
 
Huu ni ukweli mtupu, Dar ni nzuri zaidi usiku, mchana inageuka kuwa mabanda ya kuku sehemu kubwa ya mji.
kuna mada hapa yani dar ijulikani wapi ni sehemu za starehe,wapi sehemu za makazi,wapi sehemu za serikali yani BAKWATA Hipo karibu na maeneo ya madanguro
 
Halafu mkiwa mnabishana nao ukiwaliza basi sawa mmezaliwa dar,mna nin cha kunizidi mimi niliyezaliwa huko nguriati,utasikia wanajibu..ooh we dogo una dharau sana.
Maswali haya kamuulize GSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…