Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
😳😳🤣🤣Tanzania inaikaribia Somalia na Afghanistan ki matendo.
Tumefikishwa kubaya sana na hawa watu.
Wakuu msisahau kuna IGNORE option tuitumie kwa watu Kama hawaWANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
Umekuwa Mungu siku hizi?MNAJIFARIJI MPAKA MTAZEEKA IKO SIKU YAJA
Danieli 6:16Huna uwezo huo wewe ni mama tu!
Danieli 6:16Huna uwezo huo wewe ni mama tu!
Siki hizi lwani ccm wanaogopa nini kujibu hoja kwa hoja wanategemea police??Kwa nini tumeamua kutumia nguvu kuminya siasa.
Kuna ubaya gani watu kushindana kwa hoja za kiasa na ushawishi??
Nyoko linyooo veve,udesi gwa Nyokooo
Kalagha bhaho na utamwa wako ku gutwe gwako umemidze ulasi badala ya luhala!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Inashangaza sana.Yaani Police, Msajili wa vyama na Mahakama na Tume ya Uchaguzi vyoote vinaipigania chamaSiki hizi lwani ccm wanaogopa nini kujibu hoja kwa hoja wanategemea police??
Kuna kitu serious kifanyike aseee sio kufanyiwa hivyo na police sasa police hawana kazi zaidi chadema tuuuuInashangaza sana.Yaani Police, Msajili wa vyama na Mahakama na Tume ya Uchaguzi vyoote vinaipigania chama
ulamwike pa milao unywe maboso neke wadze mu jamii forums kwandika uniya niya wako apa nyamule ligimilo ka lime kwi Isimani Kwani wihela lilungulu?Nyoko linyooo veve,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga mzigo....Dola inaelekea ina hamu sana na machafuko katika nchi.
Waache waendelee tu, wanachokitafuta watakipata
Ukifika umri wa "jando" utapata fursa ya kuongea mbele ya vijana ila si Sasa....Watanzania zaidi ya million 60
Sasa wanaongozwa na wazanzibar!
Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!
Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
SAA ya Katiba mpya ni sasaHawa wanaosema ni “wamepokea maelekezo” wanatofauti gani na Sabaya. Watu wengine wameshika akili zao!!
They need to be held accountable for these inhuman treatments!!
Ukifika umri wa "jando" utapata fursa ya kuongea mbele ya vijana ila si Sasa....