Moja kati ya kitu ambacho Nimejifunza kwenye stage ya ukuaji wangu
👉Wengi tuliwakataa waliotupenda kweli, tukaangukia kwa ambao na hawatutaki na wao kuna sehemu wamependa
✔️Unakuta mtu umemkataa sababu hana kazi nzuri
✔️Sio msomi
✔️Mwonekano wa kawaida usiovutia(hana sick pack, Hana taqo kubwa)
✔️Kubagua kabila
✔️Kubagua dini
Lakini, Nimejifunza kuna una nia ya kupata mtu wa kweli, usitangulize vitu au mali,
Ata maandiko yanasema hapo "mwanzo alikuwako neno"
👉Watu watakudanganya tafuta pesa ili upate mwanamke unayemtaka watakuponza
(kama unatafuta pesa tafuta kukidhi idadi ya mahitaji yako)
👉Ukweli mchungu ni kwamba wanawake wenye mwonekano wa kawaida ndio wenye uwezekano mkubwa wa kuolewa na kudumu ndani (ni kwa vile unang'ang'ania hao wenye matako/pisikali ndio maana unateseka mpaka Leo mkuu, kaka yangu)
👉Msichana bado anavaa vikuku, anasuka nywele za rangi, bado anavaa mini skirt, anagawa Namba kila siku, unataka ndoa hapo 🤔
❌hutaki mdada anaevaa vinguo vya thirteen, mataqo yake yamepigwa Pasi Aya sawa😆
👉Kijana bado anavaa mlegezo, anasuka dread, sandal kubwa, gheto moja watu sita we unataka ndoa
❌ hutaki mkaka wa anavaa vitambaa, hanyoi viduku Unamuona mshamba
Lastly, ipo siku Mungu atakupa wako jitahidi uvae vizuri
1.pita supermarkets,malls
2.Yakitokea maonyesho ya bidhaa, launches mbalimbali yale ya mchana,(not night festivals) hudhuria
3.Seminars biashara, mafunzo ya short courses hizi digital marketing n. K
4.makanisani
Huenda utapata mmoja wapo🙏