Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

Ndo nawe unaenda kuteseka kwa linjemba halina kabisa time na wewe😁

Kuna wale wadada wanawaachaga wadau wenye mapenzi yao ya kihindi wanajileta kwangu kwamba wananipenda ilhali mimi nilishajifia kihisia sijui kupenda. Yaani hadi huwa nawahurumia wanapoingia kwa speed, najisemea yajayo ni mapichapicha.

Muda wote mtu ananiletea stori za mapenzi na kunitaka ni behave kama Shah Rukh Khan wakati mie nazingatia Abdallah akisala ahudumiwe tu then nachukua 50 zangu hadi atakaposala tena. Hii inafanya nakuwa na mahusiano yenye migogoro kibao nikilalamikiwa sipendi na nina madharau! Huwa wananilaani sana aisee nami nawaambia si mimi alaumiwe aliyeniumba.

Mmoja juzi kanishitaki kwa mama yake mdogo nashangaa napigiwa simu namba ngeni eti lisaa ima nasuluhishwa mgogoro na demu wakati hata sioni mgogoro😁
Karma ipo ila maisha yanaendelea
 
Hakuna kitu kama hicho katika uhalisia wa asili ya maisha ya binadamu.

Mwanaume anatakiwa kupenda mwanamke na mwanamke anatakiwa kuwa submissive kwa mwanaume. Hii formula ikiheshimiwa tu vilio vitapungua.

Shida sasa wanawake wanatumia software ya kiume kufanya maisha. Wanavaa kama wanaume, wanaongea kama wanaume,wanavutiwa na wanawake wenzao kama wanaume,wanaleta wivu wa kiume kwenye mahusiano, wanataka kutafuta na kumiliki mali kama wanaume, katika mazingira hayo ni ngumu kuwa na balance ya asili ya kimahusiano.

Ndio maana miaka ya nyuma kulikuwa na utulivu sababu wanawake waliishi kwa kanuni za asili sio kama sasa. Umempenda binti unakwenda kukutana na wazazi wake unachukua mke unakwenda kuanza life,hakuna habari za "Mimi huyu mwanaume hajanivutia au sijampenda" utampenda mbele ya safari. Wewe unapenda mwanaume kivipi wakati ndani sukari ikiisha akashindwa kununua tayari unamuona takataka ila wewe hata usiwe na mia mfukoni mwanaume atakupenda na kuweka rehani mali zake wewe uwe na maisha.

Turejee kanuni kelele zitaisha
 
Choice ni muhimu sana katika haya maisha, siwezi kuwa na mwanaume ambaye ananipenda halafu me sina hata hisia nae hata kidogo au sijavutiwa nae kwa sababu zangu binafsi aisee hiyo haiwezekani maana nitamtesa tu huyo kijana bora nimkatae ataumia kwa muda atasa hau yatapita kuliko nikapretend kama nampenda na nkawa nae hiyo itamuumiza zaidi
All in all mapenzi hayana formula ndugu
Tatizo ni kwamba hao wanao kuvutia pia na wao hawavutiwi na ww utajirahisha kwao wataishia kukuchezea tu wakitaka kuoa wanaenda kwa wanawake ambao wanawavutia na ww una achwa kwenye mataa.Mwisho wa siku unarudi kwa wanaume hao hao uliyo kuwa unawakataa kwa nadai ya kutovutiwa nao ,na wenyewe unakuta hawakuhitaji tena unaishia kuwa single mothers sugu wa kila mtoto na baba yake na kuishia kuita wanaume mbwa.
Pia kwa wanaume wapo ambao walisha wakataa wanawake sahihi kwa kigezo cha kutovutiwa nao mwisho wa siku wakaenda kuangukia kwa makurumbembe wakapigwa matukio ,wakarudisha majeshi kwa walio wakataa mwanzo na penyewe wakakuta wamechelewa.

Kiufupi kwenye kutafuta mwenza wa maisha huwa inahitajika akili badala ya hisia iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume tofauti na hapo utaishi maisha ya majuto.
 
Choice ni muhimu sana katika haya maisha, siwezi kuwa na mwanaume ambaye ananipenda halafu me sina hata hisia nae hata kidogo au sijavutiwa nae kwa sababu zangu binafsi aisee hiyo haiwezekani maana nitamtesa tu huyo kijana bora nimkatae ataumia kwa muda atasahau yatapita kuliko nikapretend kama nampenda na nkawa nae hiyo itamuumiza zaidi
All in all mapenzi hayana formula ndugu
Ukisikia mwanamke anaongelea kumpenda mwanaume mara nyingi huwa ni ujinga mtupu. Tazama mahusiano ya mwanamke kumpenda mwanaume zaidi kuliko mwanaume anavyompenda yeye huwa yanaishia wapi?
 
Tatizo ni kwamba hao wanao kuvutia pia na wao hawavutiwi na ww utajirahisha kwao wataishia kukuchezea tu wakitaka kuoa wanaenda kwa wanawake ambao wanawavutia na ww una achwa kwenye mataa.Mwisho wa siku unarudi kwa wanaume hao hao uliyo kuwa unawakataa kwa nadai ya kutovutiwa nao ,na wenyewe unakuta hawakuhitaji tena unaishia kuwa single mothers sugu wa kila mtoto na baba yake na kuishia kuita wanaume mbwa.
Pia kwa wanaume wapo ambao walisha wakataa wanawake sahihi kwa kigezo cha kutovutiwa nao mwisho wa siku wakaenda kuangukia kwa makurumbembe wakapigwa matukio ,wakarudisha majeshi kwa walio wakataa mwanzo na penyewe wakakuta wamechelewa.

Kiufupi kwenye kutafuta mwenza wa maisha huwa inahitajika akili badala ya hisia iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume tofauti na hapo utaishi maisha ya majuto.
Sawa
 
Inategemea umependa mwanaume wa aje me kwangu maisha yanaenda and naenjoy pia life is too short siwezi kujikatili nafsi kwa kuwa na mtu ambae yani hata hakuna kitu nafurahia kwake
 
😅 aiseee me kama mtu hajanivutia huwa siwezi kabisa hata afanye nini yani kuna vitu vyangu huwa napenda mwanaume wangu awe navyo hasa kama hana na ananipenda kiukweli kwangu huwa ngumu sana kuwa nae kuna sehemu nliwahi kuforce kiukweli niliishia tu kuumiza watu baada ya muda nikaona it's not working so niliishia kubreak up hiyo iliumiza zaidi upande wa pili kwangu pia nlijisikia vibaya but sikuwa na namna zaidi ya kuacha maana kuendelea niliona ni kama kuidhulumu nafsi yangu.
Nimepitia kupitia demu alitaka, mwanaume mwenye umbo kubwa,course mimi ni mwembamba, mrefu wastani yeye alitaka mrefu sana ety apate watoto warefu

Mara akawa anasema sijui kuvaa,
 
Huwezi kuwa na amani ya moyoni kama ukiishi na mtu eti kisa alionyesha upendo wa dhati kwako.
Kuna masingo maza ambao akili zao zimechangamka sana. Na kuna mabinti(mabikira wa Afrika) ambao ni wajinga jinga tu, wajinga kuanzia darasani hadi kwenye kupambana na changamoto za maisha.

Ingekuwa KE ni vipande. Ningeviunganisha ili nipate kitu ninachokitaka. Hata mimi pia nina madhaifu,lakini anayeoa ni mimi. Kwahiyo siwezi kukurupuka na kubeba kitu ambacho hakinifai.
Mkuu wangu, uache ubaguzi,

Huenda kwenye hao wachache waliokupenda alikuwepo mke wako

Kuhusu akili ya kuhandle maisha iyo ni responsibility yako mwanaume, ke yeye ni kupika , kuzaa, kuwa mlinzi wa nyumba basi
 
Lakini, mkuu pesa sio mapenzi, hivi unajua Inauma kiasi gani ukija kufuma message mke wako anasema "ITR nilimpenda kwasababu ana maisha Ila moyo wangu upo kwako nifanye unachotaka chochote"

Mimi hapa nilikua natoka na mke wa mtu ambae alikuwa anaachiwa laki mbili kila week ya matumizi mimi skua natoa Ata Mia demu anataka bolo tu na hapo utasemaje
Mm nimejiweka kwenye nafasi ya mwanamke anaye chagua mwenza wa maisha, kama mimi ni mwanamke kigezo changu cha kwanza kwa mwanaume ni kipato cha kuweza kunihudumia mm na watoto nitakao wazaa sio nachagua mwanaume ili kesho nije nishinde natembeza sinia la karanga stend ili kulisha watoto baada ya baba yao kukimbia majukumu.

Mkuu kwani masikini huwa hawasaritiwi bali wanao salitiwa ni wenye hela tu?
Malaya huwa hana sababu ya msingi ya kufanya umalaya wake hayo mengine huwa ni kisingizio cha kuhalalisha umalaya wake tu.
Huyo mwanamke wa mtu uliye kuwa unafanya naye uzinzi mme wake angekuwa ana muachia 5000 kwa siku bado angefanya umalaya kwa kisingizio cha mme wake hamuachii hela ya kutosha ya matumizi.

Na ndio maana kwenye koment yangu nimesema kati kitu cha muhimu cha kuzingatia kwa mwanamke kabla ya kumuoa ni past yake ya nyuma kama kipindi chake cha ujana alikuwa ni malaya usitegemee eti ataacha umalaya wake kisa kumuachia laki 2 kila siku, hatoacha umalaya wake eti kisa unamuonesha mapenzi ya kihindi hatoacha umalaya wake eti kwa sababu unakaa juu ya kifua chake kwa saa zima.
 
Tatizo ni kwamba hao wanao kuvutia pia na wao hawavutiwi na ww utajirahisha kwao wataishia kukuchezea tu wakitaka kuoa wanaenda kwa wanawake ambao wanawavutia na ww una achwa kwenye mataa.Mwisho wa siku unarudi kwa wanaume hao hao uliyo kuwa unawakataa kwa nadai ya kutovutiwa nao ,na wenyewe unakuta hawakuhitaji tena unaishia kuwa single mothers sugu wa kila mtoto na baba yake na kuishia kuita wanaume mbwa.
Pia kwa wanaume wapo ambao walisha wakataa wanawake sahihi kwa kigezo cha kutovutiwa nao mwisho wa siku wakaenda kuangukia kwa makurumbembe wakapigwa matukio ,wakarudisha majeshi kwa walio wakataa mwanzo na penyewe wakakuta wamechelewa.

Kiufupi kwenye kutafuta mwenza wa maisha huwa inahitajika akili badala ya hisia iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume tofauti na hapo utaishi maisha ya majuto.
Nakumbuka nilimuacha demu wa lasaba, nikawa nataka msomi mwenzangu baadae nakuja kusikia anabomolewa kibumbu na lecturer wetu ambae kwetu ni baba Yan yule lecturer ananizidi miaka 28 demu anazidiwa miaka 30 na yule lecturer

mbona, nilipata weweseko🥶
 
Inategemea umependa mwanaume wa aje me kwangu maisha yanaenda and naenjoy pia life is too short siwezi kujikatili nafsi kwa kuwa na mtu ambae yani hata hakuna kitu nafurahia kwake
Tatizo na huyo aliye na kitu unacho kifurahia kwake na yeye hana anacho furahia kutoka kwako ila yupo nawe kama kipozeo chake cha nyege tu.
 
Kilaza ana uwezekano mkubwa wa kuzaa vilaza.

Sitaki kuja kuitwa shuleni kila wakati eti kisa mtoto hajafikisha wastani wa shule.
Sasa mkuu, point yako ni ipi, how come mtu umuite kilaza unajua ni nini ilifanya akafeli mkuu,

Mimi huwa nauliza, kwanini mtu ameishia form two, three au four
Unakuta mtu alikuwa anakosa kazi ya kufanya
 
Lakini, mkuu pesa sio mapenzi, hivi unajua Inauma kiasi gani ukija kufuma message mke wako anasema "ITR nilimpenda kwasababu ana maisha Ila moyo wangu upo kwako nifanye unachotaka chochote"

Mimi hapa nilikua natoka na mke wa mtu ambae alikuwa anaachiwa laki mbili kila week ya matumizi mimi skua natoa Ata Mia demu anataka bolo tu na hapo utasemaje
Ni kweli pesa sio mapenzi, hata mimi nina ushuhuda wa wake za watu kadhaa wanaohudumiwa vizuri ila wanatoka nje.
 
Hakuna kitu kama hicho katika uhalisia wa asili ya maisha ya binadamu.

Mwanaume anatakiwa kupenda mwanamke na mwanamke anatakiwa kuwa submissive kwa mwanaume. Hii formula ikiheshimiwa tu vilio vitapungua.

Shida sasa wanawake wanatumia software ya kiume kufanya maisha. Wanavaa kama wanaume, wanaongea kama wanaume,wanavutiwa na wanawake wenzao kama wanaume,wanaleta wivu wa kiume kwenye mahusiano, wanataka kutafuta na kumiliki mali kama wanaume, katika mazingira hayo ni ngumu kuwa na balance ya asili ya kimahusiano.

Ndio maana miaka ya nyuma kulikuwa na utulivu sababu wanawake waliishi kwa kanuni za asili sio kama sasa. Umempenda binti unakwenda kukutana na wazazi wake unachukua mke unakwenda kuanza life,hakuna habari za "Mimi huyu mwanaume hajanivutia au sijampenda" utampenda mbele ya safari. Wewe unapenda mwanaume kivipi wakati ndani sukari ikiisha akashindwa kununua tayari unamuona takataka ila wewe hata usiwe na mia mfukoni mwanaume atakupenda na kuweka rehani mali zake wewe uwe na maisha.

Turejee kanuni kelele zitaisha
Case closed.
 
You nailed it bro.

Mambo yakiwa hivi hata chama chetu tukufu cha KATAA NDOA kitajifia a natural death
 
Back
Top Bottom