Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Mkuu acha tuKmmke ety unapua kubwa "ungemfila" asingeleta hiyo kiburi
Mkuu acha tuKmmke ety unapua kubwa "ungemfila" asingeleta hiyo kiburi
Nitajitolea kuwa mnyongaji bila malipo, maana wanatusumbua tu na migogoro yao isiyoishaMapenzi yafutwe mnaopendana mnyongwe
Kwenye uhalisia wa ulimwengu wa sasa kipato ni muhimu sana kwa mwanaume hizo nyingine za sijui mapenzi ya kweli ni hadithi za kwenye tamthiria za kituruki.Kigezo Chako hata mimi nimekikubalikwa sababu ni imebeba gamba la nje kabisa la maisha...Mwanaume lazima awe na uwezo ila hawa wanaochagua maumbo ni hatari sana.
Dah mara nchi 12, mara pesa, nyingi , mara cheo, sasa kipi ni kipiKwenye uhalisia wa ulimwengu wa sasa kipato ni muhimu sana kwa mwanaume hizo nyingine za sijui mapenzi ya kweli ni hadithi za kwenye tamthiria za kituruki.
Hata zamani kwenye kuoa mwanamke mwanaume aliye kuwa anapewa kipaumbele ni yule mwenye ngombe wengi.
Mwanamke hampendi mwanaume utapotea njiaChoice ni muhimu sana katika haya maisha, siwezi kuwa na mwanaume ambaye ananipenda halafu me sina hata hisia nae hata kidogo au sijavutiwa nae kwa sababu zangu binafsi aisee hiyo haiwezekani maana nitamtesa tu huyo kijana bora nimkatae ataumia kwa muda atasahau yatapita kuliko nikapretend kama nampenda na nkawa nae hiyo itamuumiza zaidi
All in all mapenzi hayana formula ndugu
Wafilipino 13:3Kwenye uhalisia wa ulimwengu wa sasa kipato ni muhimu sana kwa mwanaume hizo nyingine za sijui mapenzi ya kweli ni hadithi za kwenye tamthiria za kituruki.
Hata zamani kwenye kuoa mwanamke mwanaume aliye kuwa anapewa kipaumbele ni yule mwenye ngombe wengi.
Formula sii hapo juu umeitoaChoice ni muhimu sana katika haya maisha, siwezi kuwa na mwanaume ambaye ananipenda halafu me sina hata hisia nae hata kidogo au sijavutiwa nae kwa sababu zangu binafsi aisee hiyo haiwezekani maana nitamtesa tu huyo kijana bora nimkatae ataumia kwa muda atasahau yatapita kuliko nikapretend kama nampenda na nkawa nae hiyo itamuumiza zaidi
All in all mapenzi hayana formula ndugu
Hakika baba hajui asemaloFormula sii hapo juu umeitoa
😅 nshapotea na naenjoyMwanamke hampendi mwanaume utapotea njia
Second place ,first alianza kukupenda yeye😅 nshapotea na naenjoy
Mambo ya selfie tuu au sio😅 nshapotea na naenjoy
😅 kama kawaidaMambo ya selfie tuu au sio
Aiseee bora wee msema kweli😅 kama kawaida
Dunia imeshajivalia gaguloEty mara, mwanaume anabaki ndani, mwanamke anaenda tena night shift 🙌