Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

Hakuna kitu kama hicho katika uhalisia wa asili ya maisha ya binadamu.

Mwanaume anatakiwa kupenda mwanamke na mwanamke anatakiwa kuwa submissive kwa mwanaume. Hii formula ikiheshimiwa tu vilio vitapungua.

Shida sasa wanawake wanatumia software ya kiume kufanya maisha. Wanavaa kama wanaume, wanaongea kama wanaume,wanavutiwa na wanawake wenzao kama wanaume,wanaleta wivu wa kiume kwenye mahusiano, wanataka kutafuta na kumiliki mali kama wanaume, katika mazingira hayo ni ngumu kuwa na balance ya asili ya kimahusiano.

Ndio maana miaka ya nyuma kulikuwa na utulivu sababu wanawake waliishi kwa kanuni za asili sio kama sasa. Umempenda binti unakwenda kukutana na wazazi wake unachukua mke unakwenda kuanza life,hakuna habari za "Mimi huyu mwanaume hajanivutia au sijampenda" utampenda mbele ya safari. Wewe unapenda mwanaume kivipi wakati ndani sukari ikiisha akashindwa kununua tayari unamuona takataka ila wewe hata usiwe na mia mfukoni mwanaume atakupenda na kuweka rehani mali zake wewe uwe na maisha.

Turejee kanuni kelele zitaisha
Itawezekanaje mkuu, wakati elimu dunia imeshika haramu, sasa kila kitu ni vice versa

Unakuta Adam ana miaka 26 Eva ana miaka 45🤣Sasa najiuliza hivi kama Eva alitoka ubavuni mwa Adam iweje Eva awe mkubwa kuliko Adam.
 
Nimepitia kupitia demu alitaka, mwanaume mwenye umbo kubwa,course mimi ni mwembamba, mrefu wastani yeye alitaka mrefu sana ety apate watoto warefu

Mara akawa anasema sijui kuvaa,
Hili mbona kama limdnikuta namimi mkuu yani kuna dem nilimtongoza akakubali vzr so baada ya kuanza mahusiano dem akaanza kunicritsm mara mimi mfupi, sipo smart mara nina pua kubwa, mara aniambie nimekonda sana mara sina mavazi ya kutosha pia sina boxa et navaa bukta za wazee mkuu nlijiskia vbaya sana kumbe dem kwangu alikuwa kimkakati tu mwisho wa siku tukaachana
 
Mm nimejiweka kwenye nafasi ya mwanamke anaye chagua mwenza wa maisha, kama mimi ni mwanamke kigezo changu cha kwanza kwa mwanaume ni kipato cha kuweza kunihudumia mm na watoto nitakao wazaa sio nachagua mwanaume ili kesho nije nishinde natembeza sinia la karanga stend ili kulisha watoto baada ya baba yao kukimbia majukumu.

Mkuu kwani masikini huwa hawasaritiwi bali wanao salitiwa ni wenye hela tu?
Malaya huwa hana sababu ya msingi ya kufanya umalaya wake hayo mengine huwa ni kisingizio cha kuhalalisha umalaya wake tu.
Huyo mwanamke wa mtu uliye kuwa unafanya naye uzinzi mme wake angekuwa ana muachia 5000 kwa siku bado angefanya umalaya kwa kisingizio cha mme wake hamuachii hela ya kutosha ya matumizi.

Na ndio maana kwenye koment yangu nimesema kati kitu cha muhimu cha kuzingatia kwa mwanamke kabla ya kumuoa ni past yake ya nyuma kama kipindi chake cha ujana alikuwa ni malaya usitegemee eti ataacha umalaya wake kisa kumuachia laki 2 kila siku, hatoacha umalaya wake eti kisa unamuonesha mapenzi ya kihindi hatoacha umalaya wake eti kwa sababu unakaa juu ya kifua chake kwa saa zima.
Kigezo Chako hata mimi nimekikubalikwa sababu ni imebeba gamba la nje kabisa la maisha...Mwanaume lazima awe na uwezo ila hawa wanaochagua maumbo ni hatari sana.
 
Hili mbona kama limdnikuta namimi mkuu yani kuna dem nilimtongoza akakubali vzr so baada ya kuanza mahusiano dem akaanza kunicritsm mara mimi mfupi, sipo smart mara nina pua kubwa, mara aniambie nimekonda sana mara sina mavazi ya kutosha pia sina boxa et navaa bukta za wazee mkuu nlijiskia vbaya sana kumbe dem kwangu alikuwa kimkakati tu mwisho wa siku tukaachana
Kmmke ety unapua kubwa "ungemfila" asingeleta hiyo kiburi
 
Hili mbona kama limdnikuta namimi mkuu yani kuna dem nilimtongoza akakubali vzr so baada ya kuanza mahusiano dem akaanza kunicritsm mara mimi mfupi, sipo smart mara nina pua kubwa, mara aniambie nimekonda sana mara sina mavazi ya kutosha pia sina boxa et navaa bukta za wazee mkuu nlijiskia vbaya sana kumbe dem kwangu alikuwa kimkakati tu mwisho wa siku tukaachana
🤣🤣
 
Kigezo Chako hata mimi nimekikubalikwa sababu ni imebeba gamba la nje kabisa la maisha...Mwanaume lazima awe na uwezo ila hawa wanaochagua maumbo ni hatari sana.
Nilikuwa nachagua maumbo kama mara kadhaa, niliishiwa kunyang'anywa na wenye power ya mali 😀
 
Back
Top Bottom