Mtakula neno Jamani"mwanzo alikuwako neno"
Utajifunza kumpenda tu taratibu, kikubwa heshima maandiko hayajasema mwanamke kumpenda mwanaumeChoice ni muhimu sana katika haya maisha, siwezi kuwa na mwanaume ambaye ananipenda halafu me sina hata hisia nae hata kidogo au sijavutiwa nae kwa sababu zangu binafsi aisee hiyo haiwezekani maana nitamtesa tu huyo kijana bora nimkatae ataumia kwa muda atasa hau yatapita kuliko nikapretend kama nampenda na nkawa nae hiyo itamuumiza zaidi
All in all mapenzi hayana formula ndugu
Neno, kwanza hela itafuata,mbona hao wenye pesa hawakuoi kila siku unapigwa kalendaMtakula neno Jamani
Siku nyingine naongeaga nini!Leo umeongea point.
Wewe si unaongeaga maswala ya Majobless promax na mwenyekiti wenu Intelligent businessman na pia upo kwenye kamati ya KATAA NDOA.Siku nyingine naongeaga nini!
Hapana sipo kataa ndoa mimi team jobless promaxWewe si unaongeaga maswala ya Majobless promax na mwenyekiti wenu Intelligent businessman na pia upo kwenye kamati ya KATAA NDOA.
Ndo nawe unaenda kuteseka kwa linjemba halina kabisa time na wewe😁Choice ni muhimu sana katika haya maisha, siwezi kuwa na mwanaume ambaye ananipenda halafu me sina hata hisia nae hata kidogo au sijavutiwa nae kwa sababu zangu binafsi aisee hiyo haiwezekani maana nitamtesa tu huyo kijana bora nimkatae ataumia kwa muda atasa hau yatapita kuliko nikapretend kama nampenda na nkawa nae hiyo itamuumiza zaidi
All in all mapenzi hayana formula ndugu
Aya utabaki kupuyanga mkuu, wenzio unaoa vimbau mbauMimi mwanamke asiye na wowowo kwakweli hapana. Nikimuona mwanamke hana kalio huwa nahisi kama wale ma transgender.
Lakini, mkuu pesa sio mapenzi, hivi unajua Inauma kiasi gani ukija kufuma message mke wako anasema "ITR nilimpenda kwasababu ana maisha Ila moyo wangu upo kwako nifanye unachotaka chochote"Mm nitatofautiana na ww kidogo mwanaume kuanzisha familia kigezo cha kipato ni muhimu sana maana majukumu ya kifamilia uliyo ianzisha hutoyatimiza na bulaa bulaa zaidi ya kipato.
Mwanaume kabla ya kuoa inabidi ujitahidi uwe na angalau kipato cha kuweza kuitimiza mahitaji muhimu familia utakayo anzisha sio unaanzisha familia inakuja kuteseka hata mimi ningekuwa mwanamke kigezo changu cha kwanza kwa mwanaume kingekuwa kipato chake kabla ya mengine yote.
Kwa upande wa mwanamke ni past yake na aina ya familia inayo toka huyo mwanamke.
Mwanaume kamwe usije kupuuza vitu hivi viwili kwenye kutafuta mke wa kuoa tofauti na hapo utalia na kusaga meno.
Mwanamke kama alikuwa malaya kipindi cha ujana wake usitegemee eti ataacha umalaya kwa sababu ya hayo makaratasi ya ndoa.
Mwanamke kama anatoka kwenye familia ambayo mama anamkoromea baba yake usitegemee aje kwako akuheshimu.
Sasa, inabidi ujikaze kisabuni pretend tu hivyo hivyo, wewe ni mwanaume as long as anakujaliKumpenda usiyempenda ni kazi sana hata nguvu za kuchat naye nakosa
Utakufa vibaya😝😹😹 tuache na vikuku vyetu
Ila P wee hauko serious, LolMimi mwanamke asiye na wowowo kwakweli hapana. Nikimuona mwanamke hana kalio huwa nahisi kama wale ma transgender.
😅 aiseee me kama mtu hajanivutia huwa siwezi kabisa hata afanye nini yani kuna vitu vyangu huwa napenda mwanaume wangu awe navyo hasa kama hana na ananipenda kiukweli kwangu huwa ngumu sana kuwa nae kuna sehemu nliwahi kuforce kiukweli niliishia tu kuumiza watu baada ya muda nikaona it's not working so niliishia kubreak up hiyo iliumiza zaidi upande wa pili kwangu pia nlijisikia vibaya but sikuwa na namna zaidi ya kuacha maana kuendelea niliona ni kama kuidhulumu nafsi yangu.Utajifunza kumpenda tu taratibu, kikubwa heshima maandiko hayajasema mwanamke kumpenda mwanaume